Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Sasa kwa nini anawakashifu watoto WA wenzie wakati mwanaye yupo kapu moja?
 
Kama nimekuelewa vizuri hakuna sababu basi ya JPM kuita wale wanafunzi wa UDOM vilaza!
 
Kweli kila jambo na wakati. Nadhani kuna washauri walisha mshauri bwana mkubwa kuwa awe na akiba ya maneno sio kila jambo anaongea kwanza kisha kufikiri baadae.
Sio ajabu aliwapuuza na kuwaona kama wanataka kumuharibia. Lakini kwa hili la Ukilaza ambalo limeumiza wengi nadhani limeumiza zaidi ndani ya familia yake. Kuna uwezekano Jesca asiendelee tena kusoma UDOM kwani jina la Kilaza halitakufa kwake, na amani hataipata kabisa kisa kiburi cha dingi. Kuanzia sasa atachuja kauli zake kwa makini kwani wakati mwingine zinamrudi, na si yeye tuu bali hata familia.
 
M
Nini kinachompa JPM ya kwamba aombewe huku na yeye hajatenda haki....
Hakika Watz maombi yetu hayatafanya kazi
Maombi yataliwa na mwewe kabla hayajafika popote

..mwanga mkali wa jua la mbingu utayaangamiza maombi hayo ili yasiikaribie meza ya bwana
 
Nyani Ngabu watoto wa kike huchukua IQ genes za Baba na wa kiume kwa Mama. Kwa hiyo hao watoto wa Baba Jesca na Baba Mwanaasha sio kosa lao.Ni sahihi kabisa.
 
Ualimu wa siku hizi magumashi! Zamani watoto wa walimu ndio waliikuwa wanatupatia changamoto kwenye taaluma! Siku hizi ni tofauti kabisaaaaa
 
Baba mkulima na mama mkulima na wote hawakusoma lakini watoto wamesoma degree ya kwanza na wengine hadi phd,what does that tell you?
 
Watanzania bado tukiwa katika sintofahamu juu ya wanafunzi 7,000+ waliofukuzwa chuo cha UDOM siyo vibaya tukaangalia namna gani HAKI inavyoweza kutendeka bila upendeleo wowote kwa kigezo cha uwezo au wadhifa.

Tunaamini kitendo cha binti wa Mhe Rais kusoma katika chuo cha ndani ya nchi yetu ni cha kiuungwana na cha kizalendo ingawa hatujui kama alikidhi vigezo au hapana.

Kwa kifupi binti huyu awali wakati anaanza masomo yake ya degree pale UDOM alipangwa kozi ya HRM (Human Resource Management).

Baada ya baba kupata wadhifa akawa amehama kozi kutoka HRM akahamia kozi mpya ya (Political Sciences and Public Administration) PSPA.

Katika suala la Malazi Mwaka wa kwanza alikaa kampasi ya chuo na baada ya baba kupata wadhifa kuwa rais anakaa Ikulu ndogo Chamwino mbali na kwamba anacho chumba chake chuoni na hakikai mtu.

Katika suala la usafiri. Analetwa chuoni na gari la Serikali aina ya VX ya kijani kila siku chuoni na kurudi.

Kwa kuweka tofauti zetu kando tujadili kwa mustakabali wa nchi yetu.

Nawasilisha!!

Chanzo: Class mate.
 
Zengwe limeanza na inadaiwa muda si mrefu tutasikia amefukuzwa kazi . Na wakati utakapofika wasemaje wa bosi watakuja kusema Jesca ni mtu mzima hivyo boss asihushwe.
Afukuzwe kwa sababu ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…