Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Watu wengi wanaosifika kwa hotuba nzuri inasemekana sio kwamba wako smart kihivyo bali ni timings za ushirikiano wa mdomo na ubongo. Mimi natoa mchango japo sio mkubwa katika jamii yangu lakini sikuwahi kujijua kuwa ni kilaza!
 
Hujui hata unaongea nini wewe zaidi ya kujikanganya, hili jamvi ni la watu wazima wewe umekuja kufanyaje hapa?
 
Si ndo maana bodi ya TCU imevunjwa na mabosi wake kufutwa kazi, muwe mnafuatilia matukio kujua ishu nzima. Acheni serikali ifanye kazi wekeni siasa pembeni. Mmeishaambiwa wenye sifa watarudishwa chuoni
Hahaha...wewe nae kilaza...umeambiwa ile special program ilikuwa under tcu??

Kwa taarifa yako iko chini ya nacte...waivunje na nacte sasa.
 
Respect Bro Malisa Godlisten E.J.
Kila kitu hapo umekiweka wazi, maana yake ni kuwa watu wajue kuwa nasi tunafahamu, na kwa sababu tunafahamu, basi HAKI ITENDEKE. jesca must also be expelled. NO WAY.
Vinginevyo wanharakati waingilie kati suala hili ili haki itendeke. Maskini na wasio na nyadhifa wanonewa sana.
JUSTICE MUST NOT ONLY BE DONE BUT MUST ALSO SEEN TO BE DONE.
 
Acha umbumbumbu wewe, kwani hukujua aliowaita vilaza pia wanahitaji staha pia, acha kujikomba kipuuzi hata hakujui utadhalilika bure humu
 
Ficha upumbavu wako,sio kila kitu kinafaa kupotoshwa.
 
Ewe uzi aka thread, nakuamuru kwa jina lake yeye aitwaye yeye, fikisha page 100 and beyond uvunje rekodi! Mh Pombe na Lumumba mnalo!
 
unatoka nje ya mada sisi tunataka jibu la hili swali Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?
 
Jamani nina kamradi ka t-shirt kana nembo (logo) ya VILAZA KATIKA UBORA WETU.

naomba mniunge mkono. Mzigo utakuwa mtaani kuanzia wiki ijayo kwa Dar.
 
Kama kweli mwanae anasoma chuo cha umma basi ni jambo la kujivunia sana, angeweza kumpeleka canada kusoma.
 
Ficha upumbavu wako,sio kila kitu kinafaa kupotoshwa.
Hebu elezea upotoshaji wangu, wewe ndo mpumbavu namba moja, niletee matokeo ya 2012 st mathew kama utamkuta jesca, hata kufikiria hamuwezi nyumbu wee
 
Kuteleza. Kufeli ni "Failed".

unazani = unadhani (kama ni mtihani wa Kiswahili hapo umekosa marks 10).
Dada Faiza huwa unanikumbusha kifimbo cheza wa gazeti la sani. Akikuta watoto wanaongea kiswahili kisichoeleweka anawachapa fimbo.
 
Hebu elezea upotoshaji wangu, wewe ndo mpumbavu namba moja, niletee matokeo ya 2012 st mathew kama utamkuta jesca, hata kufikiria hamuwezi nyumbu wee
matokeo ya 2011 yaliotoka mwaka 2012 mwezi wa pili
Hebu elezea upotoshaji wangu, wewe ndo mpumbavu namba moja, niletee matokeo ya 2012 st mathew kama utamkuta jesca, hata kufikiria hamuwezi nyumbu wee
 
Double standard
Hii double standard ya Magufuli na kuigiza eti ana uchungu na masikini mbona tuliishtukis muda? Ndivyo alivyokaririshwa na wapanga mikakati wa kampeni. Sasa kasahau kwamba kampen zimeisha sasa tupo kwenye uhaludia wa maisha.
Ni full Maigizo. Mbona la Lugumu limekuwa humu kulushughuoikia? Eti anajificha kwenye kichaka cha ksmati ya bunge! Mbona mengine hayasubiri kamati?
 
Kwa kweli Udom imechafka na inaonekana sehemu ya vilaza na ubaya hichi Chuo kiliweka siasa mbele zaidi ya taaluma ndo mana kinatumika na wanasiasa wasio na degree wanaenda Hapo Udom ifike vyuo viwe huru sio kutumika tu. Magufuli alimuulza kikula kwanini aliruhusu hyo hali ya wasio na sifa profesa akamjibu alilazimishwa. Ka mzazi bora kutompeleka mtoto Chuo kilichochafuka
 
Hiki kiingereza chako hakikunasui kutoka katika lindi la upumbvu. Hiyo hoja nimeidadavua vizuri sana na mifugo yote ya Mbowe imenielewa vizuri sana. Sasa wanapojitoa akili hayo ndiyo majibu wanayo stahili.
Mpumbavu wewe unayetunga swali badala ya kujibu swali uliloulizwa. It will take only a fool to do what you have done and instead of admitting defeat you are using vulgar language. Hopeless.
 

bila shaka we ndo jesca, kama div iv ni ukilaza basi iwe hivyo kwa watu wote. tatizo kuu unaona yule ni mungu wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…