Mtoto wa masikini usiingie mkenge huu wa kwenda Urusi kuipambania

Mishi Zawa

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2015
Posts
1,673
Reaction score
2,575

Huu ni mtego, baki nyumbani pambania haki yako, usiende Urusi kupambania haki ya Warusi Ukrain, usidhubutu. Utapelekwa frontline ukafe.

Kwenye hiyo video hapo juu, huyo jamaa anatuambia eti meseji ya mshahara imeingia! Kulikua na umuhimu kutuambia suala hilo?! Eti hakuna shida yoyote, uende vitani kusiwe na shida yoyote?!

MTOTO WA MASIKINI USIINGIE HUU MTEGO
 
Maisha ya Tanganyika kwa sasa ni zaidi ya kuwa front line ya kwenye vita ya Russia na Ukraine,by the way unakufa kwa heshima.

Samia kaua watanganyika 10K kwa siku tatu, lakini vita vya Russia na Ukraine hadi muda huu wa miaka zaidi ya minne wamekufa watu 15K

Kipi Bora,si Bora ukauawe Russian huku familia yako ikilipwa kuliko kuuliwa na Samia na mwili wako usionekane milele
 
Mambo ni mawili tu umasikini ukuuwe au wewe ndio uuwe umasikini full stop..
 
Maisha ya Tanganyika kwa sasa ni zaidi ya kuwa front line ya kwenye vita ya Russia na Ukraine,by the way unakufa kwa heshima.

Samia kaua watanganyika 10K kwa siku tatu, lakini vita vya Russia na Ukraine hadi muda huu wa miaka zaidi ya minne wamekufa watu 15K

Kipi Bora,si Bora ukauawe Russian huku familia yako ikilipwa kuliko kuuliwa na Samia na mwili wako usionekane milele
MKuu kuna familia yoyote inaweza kuja kutuambia wamefaidika na hela wanazotumiwa na mtoto wao aliye vitani?! Bora tupamabane na serikali kwa umoja wetu, damu yetu imwagike hapa hapa nyumbani italeta mabadiliko tu. Sio Urusi! Jamaa anadai sms ya mshahara imeingia! Kwenye bank ya wapi?! CRDB au NMB? Ana bima ya maisha?! Aisee, huu mtego usishawishi mtu, hata mshahara wa kwanza unaweza usiupate ukafa. Sikatai wako mercenaries wa kibongo walipambana Iraki na Afghanistani lakini nao wameajiriwa tena hapa hapa bongo. Hakuna kipato cha kutisha vitani. Ni mtego huu, Urusi hana askari anawatafuta. Leta tamaa sasa.
 
Si ndio hapo Sasa!!! Vijana wa Tanzania wakipata hiyo fursa ya kwenda vitani basi wataondoka wengi sana bila hata kupepesa macho,Tanzania ni zaidi ya jehanamu
MKuu, kungekua na ujasiri huo, kila siku kungekua na maandamano. Nenda Wavuvi na kitambaa cheupe ukaone vijana wanavyokula maisha. Watoto wa masikini ndio wako tayari kwenda vitani hata kushika silaha hajui anaenda tu sababu ya unasikini wa akili na kipato. Poor Tanzanian Youth
 
MKuu kuna familia yoyote inaweza kuja kutuambia wamefaidika na hela wanazotumiwa na mtoto wao aliye vitani?! Bora tupamabane na serikali kwa umoja wetu, damu yetu imwagike hapa hapa nyumbani italeta mabadiliko tu. Sio Urusi! Jamaa anadai sms ya mshahara imeingia! Kwenye bank ya wapi?! CRDB au NMB? Ana bima ya maisha?! Aisee, huu mtego usishawishi mtu, hata mshahara wa kwanza unaweza usiupate ukafa. Sikatai wako mercenaries wa kibongo walipambana Iraki na Afghanistani lakini nao wameajiriwa tena hapa hapa bongo. Hakuna kipato cha kutisha vitani. Ni mtego huu, Urusi hana askari anawatafuta. Leta tamaa sasa.
Mimi siogopi kufa mkuu,ikiwa Samia aliniacha ,hakuniua October 29 nikipata nafasi ya kwenda Russia Mimi naenda,Tena front line A,sio B au C
 
Back
Top Bottom