Mishi Zawa
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,673
- 2,575
Mkuu Samia kaua 10K peoy kwa siku tatu,je walitanguliza sana pesa!?Ukitanguliza sana pesa mbele utakufa mapema sana!
Kwa hiyo waliokufa Kwa Ajari walitanguliza pesa mbeleUkitanguliza sana pesa mbele utakufa mapema sana!
Si ndio hapo Sasa!!! Vijana wa Tanzania wakipata hiyo fursa ya kwenda vitani basi wataondoka wengi sana bila hata kupepesa macho,Tanzania ni zaidi ya jehanamuIli tubakie Tanzania mtuajiri kuosha magari yenu huku mkitulipa mnatusimanga right?
MKuu kuna familia yoyote inaweza kuja kutuambia wamefaidika na hela wanazotumiwa na mtoto wao aliye vitani?! Bora tupamabane na serikali kwa umoja wetu, damu yetu imwagike hapa hapa nyumbani italeta mabadiliko tu. Sio Urusi! Jamaa anadai sms ya mshahara imeingia! Kwenye bank ya wapi?! CRDB au NMB? Ana bima ya maisha?! Aisee, huu mtego usishawishi mtu, hata mshahara wa kwanza unaweza usiupate ukafa. Sikatai wako mercenaries wa kibongo walipambana Iraki na Afghanistani lakini nao wameajiriwa tena hapa hapa bongo. Hakuna kipato cha kutisha vitani. Ni mtego huu, Urusi hana askari anawatafuta. Leta tamaa sasa.Maisha ya Tanganyika kwa sasa ni zaidi ya kuwa front line ya kwenye vita ya Russia na Ukraine,by the way unakufa kwa heshima.
Samia kaua watanganyika 10K kwa siku tatu, lakini vita vya Russia na Ukraine hadi muda huu wa miaka zaidi ya minne wamekufa watu 15K
Kipi Bora,si Bora ukauawe Russian huku familia yako ikilipwa kuliko kuuliwa na Samia na mwili wako usionekane milele
MKuu, kungekua na ujasiri huo, kila siku kungekua na maandamano. Nenda Wavuvi na kitambaa cheupe ukaone vijana wanavyokula maisha. Watoto wa masikini ndio wako tayari kwenda vitani hata kushika silaha hajui anaenda tu sababu ya unasikini wa akili na kipato. Poor Tanzanian YouthSi ndio hapo Sasa!!! Vijana wa Tanzania wakipata hiyo fursa ya kwenda vitani basi wataondoka wengi sana bila hata kupepesa macho,Tanzania ni zaidi ya jehanamu
Mimi siogopi kufa mkuu,ikiwa Samia aliniacha ,hakuniua October 29 nikipata nafasi ya kwenda Russia Mimi naenda,Tena front line A,sio B au CMKuu kuna familia yoyote inaweza kuja kutuambia wamefaidika na hela wanazotumiwa na mtoto wao aliye vitani?! Bora tupamabane na serikali kwa umoja wetu, damu yetu imwagike hapa hapa nyumbani italeta mabadiliko tu. Sio Urusi! Jamaa anadai sms ya mshahara imeingia! Kwenye bank ya wapi?! CRDB au NMB? Ana bima ya maisha?! Aisee, huu mtego usishawishi mtu, hata mshahara wa kwanza unaweza usiupate ukafa. Sikatai wako mercenaries wa kibongo walipambana Iraki na Afghanistani lakini nao wameajiriwa tena hapa hapa bongo. Hakuna kipato cha kutisha vitani. Ni mtego huu, Urusi hana askari anawatafuta. Leta tamaa sasa.