ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,649
- 2,805
Mtoa post kwa msisitizo huu nyuma ya post kuna nini?
Yaani unatoa Dola 500! Aisee! Tz hii hii..
Pesa hiyo! Unajua ukizaliwa kwenye pesa tena! Tunaopiga kelele ni sisi makapuku tusiokuwa na mbele wala nyuma!Maji hufuata mkondo. Mbowe kamrithisha ulevi mwanae.
Maji togwa juisiMakabila mengine wanawpaga nini
Siishi DarPole!una raha hata dar unaishi huko.natamani kuja siku moja niende hatch[emoji39]
Dah! The Unknowns are not people aisee...Operation ya kichwa mtu kurudi kuwa stable kama mwanzo yanahitajika maombi, ubongo haupendi kusumbuliwa kwa namna yoyote, au mtu yeyote, hata akiwa daktari.
Mungu alisha-set vitu vyake anajua mwenyewe ufundi alioutumia.
Kama wewe ulivyomrithisha bintiyo uchangudoa! Pumabavu kabisa wewe unautumia hiyo papuchi kufikiri badala ya kichwa!Maji hufuata mkondo. Mbowe kamrithisha ulevi mwanae.
Cheap politics.Mtoa post kwa msisitizo huu nyuma ya post kuna nini?
Ile familia ya kitajiri baba, haitegemei ruzuku za vyamaJitahidi uwe mwenyekiti ili ukabidhiwe fuko la ruzuku
Dah...hapana haijakaa sawa hii .... Kwanini aanguke mtoto wa mwenyekiti tu? Hapa kuna namna tu siyo bure....tunaomba wachunguzi kutoka nje waje walichunguze hili [emoji15]Dudley Mbowe, mtoto wa kiume wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman A. Mbowe amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospital ya Aga Khan, Dar es Salaam baada ya kuumia vibaya kichwani.
Kijana huyo jana alifanyiwa operesheni ya kichwa na inaelezwa hali yake ni mbaya.
Sababu za kulazwa kwa Dudley inaelezwa kuwa ni baada ya kuanguka na kukigonga kichwa chake vibaya wakati akiwa Yatch Club, iliyoko Leopard’s Cove, Msasani Bay jijini Dar es Salaam.
Club hiyo ni sehemu ya starehe ambayo inaruhusu wanachama tu kuingia na kustarehe. Gharama ya kuwa mwanachama ni dola 500 (zaidi ya Sh milioni 1) inayolipwa kila mwaka. Kiasi hiki hakihusishi gharama za vinywaji, vyakula, boti za kifahari na huduma nyingine za kiwango cha kimataifa.
Hili linakuja ikiwa ni siku chache tangu Freeman Mbowe adaiwe kuumizwa na kuvunjwa mguu akiwa jijini Dodoma ambapo baadaye alihamishiwa Hospitali ya Aga Khan ya jijini Dar.
Chanzo: Mtoto wa Mbowe aanguka, alazwa ICU
Katika kitu kimenishangaza kwenye huu uzi ni jinsi ambavyo $500 annual fee imekuzwa. Seriously $500 kwa mwaka ni issue?!! $500 kwa mwaka ni Sawa na $1.4 kwa siku hela ya bia mbili! Sasa humu mbona kuna watu wengi tu wanakunywa zaidi ya bia mbili kila siku?! Halafu kuna watu kila siku wanakomenti eti JF kila mtu tajiri!Sasa pale yatch kipi Cha ajabu jamani , Kuna michezo ya watoto, kula, swimming pool na michezo mingine kadhaa.
Sijui kwanini hii imekuwa topic . Huwa nikitaka kuona watu wanavyoishi huwa naenda fukwe za mbezi au maeneo ya masaki/osyerbay.
Ukicheki comments nyingi za humu Ni roho zetu za kimasikini za Tandale, Buza , Tandika , Manzese
Tumia akili wewe. Kuna Bar pale pombe kimbao.
Unaongea as if u mwanachama wa hizo clubs🙃Siishi Dar
Katika kitu kimenishangaza kwenye huu uzi ni jinsi ambavyo $500 annual fee imekuzwa. Seriously $500 kwa mwaka ni issue?!! $500 kwa mwaka ni Sawa na $1.4 kwa siku hela ya bia mbili! Sasa humu mbona kuna watu wengi tu wanakunywa zaidi ya bia mbili kila siku?! Halafu kuna watu kila siku wanakomenti eti JF kila mtu tajiri!
Nina experience na hayo maeneo sanaUnaongea as if u mwanachama wa hizo clubs[emoji854]