Mtoto wa Mbowe, Dudley Mbowe aanguka akiwa Yatch Club, alazwa ICU

Mtoto wa Mbowe, Dudley Mbowe aanguka akiwa Yatch Club, alazwa ICU

ROHO za kimaskini zinetawala sana watanzania Sasa jamaa alitaka mtoto wa Mbowe akachangamane na sisi Woodland manzese bia 1500.
Nchi hii ccm imetia ujinga watu wengi na wenyewe wanaona ndio maisha mtu amekuwa maskini kuanzia fikra mpaka mfukoni! shida sana
 
Tumia akili wewe. Kuna Bar pale pombe kimbao.
Mkuu uwepo wa restaurant na bars sio main objective ya yatch club..nimekuwekea objectives na kuna mamia ya watu wanaenda kufuata hizo objective tu na sio mengine!.ni sawa na ww kutohudhuria harusini sababu kuna pombe wakati sio main objective ya harusi...understand.!.unless kama ulikuwepo ukamuona huyo kijana akiwa analewa!
 
Yes. Na hiyo ni kiingilio tu[emoji6]..kibongo bongo kubwa
Sasa pale yatch kipi Cha ajabu jamani , Kuna michezo ya watoto, kula, swimming pool na michezo mingine kadhaa.

Sijui kwanini hii imekuwa topic . Huwa nikitaka kuona watu wanavyoishi huwa naenda fukwe za mbezi au maeneo ya masaki/osyerbay.

Ukicheki comments nyingi za humu Ni roho zetu za kimasikini za Tandale, Buza , Tandika , Manzese
 
Mimi sipajui .ndo maana nikaandika...na sio wote tuna uwezo huo mkuu..relax
 
Sasa dada unashangaa milion 1 kwa mwaka wakati Kuna watu wa kawaida wanalipia Gym laki 2 kwa mwezi na kwa mwaka wanalipa jumla milion 2.4 , just kufanya mazoezi.

Sioni ajabu Sana kwani kila mtu anakipato chake havifanani..relax
 
mfano wa kiongozi bora huanzia ktk familia yake mwenyewe, ukishindwa kuiongoza familia yako vizuri kamwe usitarajie kuongoza watu wengine halafu ukategemea wakuelewe au wakuamini. kila mmoja wetu ajitahidi kuwa kiongozi bora wa familia yake.
Kama Mkapa vile?
 
Baba na mtoto wanashinda a kunywa nyagi
IMG_20200701_192910.jpg
 
Back
Top Bottom