Mtoto wa Mbowe, Dudley Mbowe aanguka akiwa Yatch Club, alazwa ICU

Mtoto wa Mbowe, Dudley Mbowe aanguka akiwa Yatch Club, alazwa ICU

Hapa Magu utamsingizia. Mtu anywe konyagi mwenyewe aanguke then usingizie wengine ?Club kijana wa Kikristo anafanya nini ?Mbowe kamrithisha mwanae tabia chafu. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
Hivi unafikiri hapo yatch club ni kucheza sebene
Au Kuna disco..... Kama kunywa hapo watu wanakunywa ki VIP
starehe kubwa hapo ni uvuvi na wengi wa members Wana boti zao....
Kuwa mtulivu subiria ripoti kamili ni chanzo cha yeye kuumia

Ova
 
Nawashangaa watu wanaolalamika fee ya dola 500 kwa mwaka. Yani kitu kama 1.3M ndo inaonekana ni hela nyingi kwa mtu kama Mbowe. Akienda kula bata vibandani napo kuna watakaolalamika kuwa yuko local. Chamsingi hajavunja sheria za nchi wala za maadili, hii ni sawa na watoto wa uswahilini kwenda beach kuogelea.
Nimekumbuka sister mtangazaji alivyonambia yeye haruhusiwi kupanda daladala, mtu akuone unatangaza habari leo kesho mgombee seat.
 
Yaani Wengine Tunaona Maajabu
Million 1 Kwa Mwaka
Hakika Wengine Bado Tutangoja Sana
Yaani Kumekucha Ndiyo Tunalala
😶🤨😑😏
Angalia simu yako unalipa sh ngapi kila siku kwa Vocha zidisha kwa 30 na 12 halafu hizi ni hela za kawaida sana dola 500 kwa mwaka japo kinachofanyika ni Class flani zinakutana hapo WE NJOO HUKU KWETU BUZA KWENYE SENGELI
 
Kaanguka kama ajali, kuzidiwa kilevi au ugonjwa?
 
Peoplesssss powerrrrr.....! Makamanda kama vipi tuchangeni ili aweze kwenda kutibiwa nje ya nchi
 
Back
Top Bottom