Mtoto wa Mbowe, Dudley Mbowe aanguka akiwa Yatch Club, alazwa ICU

Au alilewa sana? Mikosi kwa familia ya Mbowe mwaka huu, kuna sehemu kafanya kitu kibaya itakuwa, isije ikawa Karma
 
Hivi unafikiri hapo yatch club ni kucheza sebene
Au Kuna disco..... Kama kunywa hapo watu wanakunywa ki VIP
starehe kubwa hapo ni uvuvi na wengi wa members Wana boti zao....
Kuwa mtulivu subiria ripoti kamili ni chanzo cha yeye kuumia

Ova
Sasa wanakunywa ki VIP ila alcohol ni ile ile ama siyo ?
 
Hapa Magu utamsingizia. Mtu anywe konyagi mwenyewe aanguke then usingizie wengine ?Club kijana wa Kikristo anafanya nini ?Mbowe kamrithisha mwanae tabia chafu. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
Umelewa!?
 
About Us - Dar es Salaam Yacht Club - Zanzibar, Tanzania

The current objective of the Club is: the encouragement of amateur yacht and boat sailing and racing, deep-sea fishing, scuba diving, kayaking and other aquatic sports.
 
Hivi unafikiri hapo yatch club ni kucheza sebene
Au Kuna disco..... Kama kunywa hapo watu wanakunywa ki VIP
starehe kubwa hapo ni uvuvi na wengi wa members Wana boti zao....
Kuwa mtulivu subiria ripoti kamili ni chanzo cha yeye kuumia

Ova
Kuna watu humu leo nimeamini kuwa kichwani ni weupe mno kupita maelezo. Neno "club" limewapa maana moja tu wanaoijua wao,sehemu ya pombe! Kweli v.laza hawataisha.
 
Hii mbinu ya kumsababishia mshindani wako matatizo ili abaki anashughulika na matatizo ili kumuua nguvu. Kweli Mbowe anapigana na jeshi lote la polisi na usalama wa taifa ana kazi kubwa mwenyekiti wetu. Nina uhakika kuna makubwa yanafichwa kwa nguvu zote ila haki itatendeka tu mwishoni.
CCM inahusikaje hapo? Ndio iliomtuma alewe au afanye starehe? Acha unyumbu Wako
Hapa Magu utamsingizia. Mtu anywe konyagi mwenyewe aanguke then usingizie wengine ?Club kijana wa Kikristo anafanya nini ?Mbowe kamrithisha mwanae tabia chafu. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
Kweli kabisa Wala wasitafute sababu
 
Hii mbinu ya kumsababishia mshindani wako matatizo ili abaki anashughulika na matatizo ili kumuua nguvu. Kweli Mbowe anapigana na jeshi lote la polisi na usalama wa taifa ana kazi kubwa mwenyekiti wetu. Nina uhakika kuna makubwa yanafichwa kwa nguvu zote ila haki itatendeka tu mwishoni.
Wewe kweli kilaza,duh ina maana huyo Cha pombe mdogo kashikwa kanyeshwa ugimbi kapigwa halafu katupwa kwenye maji na CCM? Hivi mwenzetu unawaza kwa kutumia Nini
 
Back
Top Bottom