Mtoto wa Mbowe, Dudley Mbowe aanguka akiwa Yatch Club, alazwa ICU

Mtoto wa Mbowe, Dudley Mbowe aanguka akiwa Yatch Club, alazwa ICU

Wewe kweli kilaza,duh ina maana huyo Cha pombe mdogo kashikwa kanyeshwa ugimbi kapigwa halafu katupwa kwenye maji na CCM? Hivi mwenzetu unawaza kwa kutumia Nini
Hata kama alikuwa kanywa kutupwa kwenye maji anaweza kutupwa na wakala wa magu unafikiri watakuja wakijitambulisha kama ccm. Acheni siasa chafu na za woga wa ajabu nyie chama zee.
 
Wanajua ni kama li disco
Wangejua pale starehe namba moja ni yatching, surfing na mambo mengine.....

Ova
,inajulikana wazi pale starehe kubwa Ni yatching.surfing. na ndio maana ikaitwa yatch club Ila ipo bar na mgahawa wa chakula na weekends panakuwa na live band
 
Kwakweli
Wengine Wahaha Huko Mulyabhibhi Daraja La Kikwete Kigoma Hata Hiyo Club Hawaijui
Wengine Vyeti Tele Wanahaha
Acha Tuone!!!!😏😐😶🤨😑
Acha roho mbaya binadamu hawafanani ....
kama vidole....
aliyepewa kapewa....
ongeza bidii na ww upate hela nyingi...
uwarithishe wanao
 
Nawashangaa watu wanaolalamika fee ya dola 500 kwa mwaka. Yani kitu kama 1.3M ndo inaonekana ni hela nyingi kwa mtu kama Mbowe. Akienda kula bata vibandani napo kuna watakaolalamika kuwa yuko local. Chamsingi hajavunja sheria za nchi wala za maadili, hii ni sawa na watoto wa uswahilini kwenda beach kuogelea.
Nimekumbuka sister mtangazaji alivyonambia yeye haruhusiwi kupanda daladala, mtu akuone unatangaza habari leo kesho mgombee seat.
Hizo dola 500 kwa mwaka zimewashangaza sana wadau humu japo kwa mwaka si nyingi kihiivyo kama una chanzo kizuri cha mapato.

Nadhani hili neno 'dola' limechangia hata baadhi ya watu kuhusisha na ruzuku anyway ndio jamii zetu zilivyoaminishwa.
 
Back
Top Bottom