Mtoto wa Mbowe, Dudley Mbowe aanguka akiwa Yatch Club, alazwa ICU

Mtoto wa Mbowe, Dudley Mbowe aanguka akiwa Yatch Club, alazwa ICU

What is club , waswahili club haimanishi Kila club n uasi,club n neno tu kunaweza kuwa hata na maka friends club au Jesus club .mtoto wa mbowe alikuwa kwenye club inayojihusisha na Mambo ya ndani ya maji,safar Chanel fiken pale kutafuta namna ya kutangaza utalii wa ndani,watz tuache kujifanya tunajua Kila Jambo kwa siasa za buku 7
Wewe umekariri kila mtu ni buku 7 humu!
 
Huu ni mwendelezo wa ccm kuua upinzani kwa kuwa frustrate akina Mbowe na wengine wasishiriki kikamilifu katika kampeni. Mipango hii na mingine michafu zaidi inajulikana. Wana CDM tuwe makini.
Maji hufuata mkondo. Mbowe kamrithisha ulevi mwanae.
Mtoto wa nyoka ni nyoka.hapo watasingizia watuwasio julikana wakati mtoto nae ni mlevi kama baba yake.
Sababu ya kuanguka ni nini au n baada ya kulewa. Weka maneno kamili
konyagi imemuumiza baba mguu mtoto nae konyagi imemuumiza kichwa, mtoto wa nyoka Ni nyoka tu
 
Pole sana. Familia ya Mbowe ni millionaires wa miaka mingi. Wamewekeza mpaka nje ya nchi ziko biashara za estate n.k. hivyo bila kodi yako wataishi tu.
Nitajie jina la kampun ya estate iliyopo huko nje
 
Mzee angetengeneza kaempire hata kakizushi tu ili mjini pasiwe na utata ila ndo vile
 
Dudley Mbowe, mtoto wa kiume wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman A. Mbowe amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospital ya Aga Khan, Dar es Salaam baada ya kuumia vibaya kichwani.

Kijana huyo jana alifanyiwa operesheni ya kichwa na inaelezwa hali yake ni mbaya.

Sababu za kulazwa kwa Dudley inaelezwa kuwa ni baada ya kuanguka na kukigonga kichwa chake vibaya wakati akiwa Yatch Club, iliyoko Leopard’s Cove, Msasani Bay jijini Dar es Salaam.

Club hiyo ni sehemu ya starehe ambayo inaruhusu wanachama tu kuingia na kustarehe. Gharama ya kuwa mwanachama ni dola 500 (zaidi ya Sh milioni 1) inayolipwa kila mwaka. Kiasi hiki hakihusishi gharama za vinywaji, vyakula, boti za kifahari na huduma nyingine za kiwango cha kimataifa.

Hili linakuja ikiwa ni siku chache tangu Freeman Mbowe adaiwe kuumizwa na kuvunjwa mguu akiwa jijini Dodoma ambapo baadaye alihamishiwa Hospitali ya Aga Khan ya jijini Dar.

Chanzo: Mtoto wa Mbowe aanguka, alazwa ICU
John Faru amefanya kazi yake kama alivyofanyakazi kwa Baba yake. Pole sana!!
 
Angekuwa Mendez hpa ungesikia tayari nae katoa Kafara, kwnza wcbyy wote si washirikina....... All in all gate well soon Buddy!
 
Dudley Mbowe, mtoto wa kiume wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman A. Mbowe amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospital ya Aga Khan, Dar es Salaam baada ya kuumia vibaya kichwani.

Kijana huyo jana alifanyiwa operesheni ya kichwa na inaelezwa hali yake ni mbaya.

Sababu za kulazwa kwa Dudley inaelezwa kuwa ni baada ya kuanguka na kukigonga kichwa chake vibaya wakati akiwa Yatch Club, iliyoko Leopard’s Cove, Msasani Bay jijini Dar es Salaam.

Club hiyo ni sehemu ya starehe ambayo inaruhusu wanachama tu kuingia na kustarehe. Gharama ya kuwa mwanachama ni dola 500 (zaidi ya Sh milioni 1) inayolipwa kila mwaka. Kiasi hiki hakihusishi gharama za vinywaji, vyakula, boti za kifahari na huduma nyingine za kiwango cha kimataifa.

Hili linakuja ikiwa ni siku chache tangu Freeman Mbowe adaiwe kuumizwa na kuvunjwa mguu akiwa jijini Dodoma ambapo baadaye alihamishiwa Hospitali ya Aga Khan ya jijini Dar.

Chanzo: Mtoto wa Mbowe aanguka, alazwa ICU
Walichelewa kutoa taarifa kuwa kashambukiwa na wasiojulikana
 
Back
Top Bottom