Mtoto wa Mbowe, Dudley Mbowe aanguka akiwa Yatch Club, alazwa ICU

Mtoa post kwa msisitizo huu nyuma ya post kuna nini?
 
Yaani unatoa Dola 500! Aisee! Tz hii hii..

Get well soon Dudley

Kila kitu ambacho hatuna uwezo nacho ningekua kuwa anasa.... kwa watanzania tuliowengi hiyo 500 usd ni kodi ya nyumba ya miaka2. Tufanye kazi jamani
 
Operation ya kichwa mtu kurudi kuwa stable kama mwanzo yanahitajika maombi, ubongo haupendi kusumbuliwa kwa namna yoyote, au mtu yeyote, hata akiwa daktari.

Mungu alisha-set vitu vyake anajua mwenyewe ufundi alioutumia.
 
Operation ya kichwa mtu kurudi kuwa stable kama mwanzo yanahitajika maombi, ubongo haupendi kusumbuliwa kwa namna yoyote, au mtu yeyote, hata akiwa daktari.

Mungu alisha-set vitu vyake anajua mwenyewe ufundi alioutumia.
Dah! The Unknowns are not people aisee...
 
Dah...hapana haijakaa sawa hii .... Kwanini aanguke mtoto wa mwenyekiti tu? Hapa kuna namna tu siyo bure....tunaomba wachunguzi kutoka nje waje walichunguze hili [emoji15]
 
Katika kitu kimenishangaza kwenye huu uzi ni jinsi ambavyo $500 annual fee imekuzwa. Seriously $500 kwa mwaka ni issue?!! $500 kwa mwaka ni Sawa na $1.4 kwa siku hela ya bia mbili! Sasa humu mbona kuna watu wengi tu wanakunywa zaidi ya bia mbili kila siku?! Halafu kuna watu kila siku wanakomenti eti JF kila mtu tajiri!
 


Bwana wee.. .hiyo hela ni kubwa .!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…