Mtoto wa Mbowe, Dudley Mbowe aanguka akiwa Yatch Club, alazwa ICU

Hii nchi imejaa wanafiki lissu akifanya jambo hasira za Magufu anazimalizia kwa familiya Mbowe ili swala sio sahii ccm mnapashwa kujitafakari. Uhuni sio mzuri.
 
Kuna kaupepo Kabaya kanapita familia ya mbowe, hili nalo wanasisi vichwa maji watalitumia kupandia ngazi za kueneza propaganda chafu
 
Kulikua na haja gani kuelezea gharama za kula starehe kwenye hiyo club, au kutaka kutuaminisha ni hela za chama,
 
Yaani Wengine Tunaona Maajabu
Million 1 Kwa Mwaka
Hakika Wengine Bado Tutangoja Sana
Yaani Kumekucha Ndiyo Tunalala
😶🤨😑😏
Harafu tunaambiwa nchi imeingia kwenye uchumi wa kati
 
Kimtindo report yako ipo bias
 
Vipi hakuna harufu ya wasiojulikana kwenye huko kuanguka kwake?

Ngoja tusubiri usubiri statement ya ubalozi wa Marekani!
 
Maneno kamil ni kuwa "alikuwa club ambayo hulipwa kiingilio kwa mwaka 500 USD na imekuja muda mfup baada ya bana yake kushambuliwa"

Hiyo ni kwa mujibu wa mtoa taarifa, yeye hajaishughulisha akil yake kujua sababu
Sababu ya kuanguka ni nini au n baada ya kulewa. Weka maneno kamili
 
Clubs na shetani ni kama kupe na damu.
What is club , waswahili club haimanishi Kila club n uasi,club n neno tu kunaweza kuwa hata na maka friends club au Jesus club .mtoto wa mbowe alikuwa kwenye club inayojihusisha na Mambo ya ndani ya maji,safar Chanel fiken pale kutafuta namna ya kutangaza utalii wa ndani,watz tuache kujifanya tunajua Kila Jambo kwa siasa za buku 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…