Mtoto wa Mbowe, Dudley Mbowe aanguka akiwa Yatch Club, alazwa ICU

Huu ni mpago

Huu ni mpango wa ccm kuua upinzani kwa kum-frustrate Mbowe, mbaya sana.
Hahaha CCM ndiyo walimpa huyo mtoto wa Mbowe Faru John? Mtoto mwenyewe anaitwa Dudley sijui ni Mmarekani yaani ni shida tu!!
 
Urais!!
Kafara!!
 
Mbinu hizi chafu kabisa za kuwavuruga wapinzani tunazilaani kwa nguvu zote! Magu ana mengi sana ya kujibu atakapostaafu, sijui mtamsaidia vipi.
 
Maskini tupende kutumia pesa kujichanganya kwa lengo la kupata connection. Mimi nilikua member Gymkhana for 2 years kabla sijaamua ku-cease membership. Imenisaidia pakubwa!
Nimekutana na makunguru, manyalali, manyangumi ya mjini.
Maneno makubwa Sana haya!
 
Huu ni mwendelezo wa ccm kuua upinzani kwa kuwa frustrate akina Mbowe na wengine wasishiriki kikamilifu katika kampeni. Mipango hii na mingine michafu zaidi inajulikana. Wana CDM tuwe makini.
CCM inahusikaje hapo? Ndio iliomtuma alewe au afanye starehe? Acha unyumbu Wako
 
Mbinu hizi chafu kabisa za kuwavuruga wapinzani tunazilaani kwa nguvu zote! Magu ana mengi sana ya kujibu atakapostaafu, sijui mtamsaidia vipi.
Hapa Magu utamsingizia. Mtu anywe konyagi mwenyewe aanguke then usingizie wengine ?Club kijana wa Kikristo anafanya nini ?Mbowe kamrithisha mwanae tabia chafu. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
 
Hapa Magu utamsingizia. Mtu anywe konyagi mwenyewe aanguke then usingizie wengine ?Club kijana wa Kikristo anafanya nini ?Mbowe kamrithisha mwanae tabia chafu. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
Kweli kabisa Wala wasitafute sababu
 
Huu ni mwendelezo wa ccm kuua upinzani kwa kuwa frustrate akina Mbowe na wengine wasishiriki kikamilifu katika kampeni. Mipango hii na mingine michafu zaidi inajulikana. Wana CDM tuwe makini.
yani kulewa lilewe toto la Mbowe alafu lawama mzitupie CCM!!?
sasa hii mada inahusiana nini na kuuwa upinzani.wakati mtoto wa mfalme ndo kauza nyago?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…