PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
Ni d'banjNa wa mwanamziki mwingine hukohuko naijeria nani yule jina limenitoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni d'banjNa wa mwanamziki mwingine hukohuko naijeria nani yule jina limenitoka
Davido I thinkyaah noma sana kuna yule msanii wa africa sijui 2face nae alizika mwanae kisa swimming pool
Wewe kama mimi nilishawishiwa sana weka nikasema NO sitaki kuleta maafa kwa family yangu hata kwa wageni maana nimeshuhudia, nimesikia watoto wanapoteza maisha in seconds. Hili nimelikataa kabisa.Daaah me kwa kweli swimming pool hata nikiwa na hela vipi sitaweka huu ujingaaa...
Nyuzi za vifo zinafufuliwa kwa Kasi sanaKwa nn uzi umefukuliwa?
Sababu zinazo fanya sisi Waafrika na nchi maskini tuweke hizo electric fance hazipo kabisa kwa nchi za 'watu wanao jielewa'Hizo electrical fence ni ulimbukeni tu wa wabongo! Wapo matajiri kibao hawana huo ujinga hasan nchi za watu wanaojielewa!
Huu Uzi ni wa muda mrefu kama sikosei,ulifuatana na wa mtoto wa davido
Hapana mkuu, huyu ni Cecil yule ambaye gari ilishika moto anaitwa Geoffrey, wote na Mwambe lakini Cecil Mwambe ni mbunge wa Ndanda na Geoffrey ni mbunge wa Masasi.