TANZIA Mtoto wa Mbunge Cecil Mwambe afariki dunia kwenye swimming pool

TANZIA Mtoto wa Mbunge Cecil Mwambe afariki dunia kwenye swimming pool

Mambo ya kuweka swimming pool nyumban nako inataka uangalizi makini

Anyway poleni wafiwa

Ova
Kwa kweli aisee, na yanahitaji hela hasa maana swimming pool tu lenyewe ni urembo hivyo huwezi kulizungushia ukuta au mabati lazima uweke uzio wa kioo kigumu liwe linaoonekana, in case hutaki watoto wasiingie ukiwa haupo ...hapo ndio tabu inapooanzia
 
Sijatafsiri kwamba ni tabia mbaya, mtoto yoyote lazima umlee katika maadili ya usikivu na utekelezaji kwa kile unacho muambia kama mzazi. Kama hutoweza mlea katika njia hiyo ni tatizo hilo. Kila kitu kina mipaka hasa katika malezi, mtoto anapanga juu ya ukuta kujifunza nini ?
Acha kukaza kichwa ..nyie ndio munafikiri akili zenu Ni sawa na za watoto wenu ..unajua kabisa yule Ni mtoto unadhani atawaza Kama wewe? Jamaa anakuelewesha na wewe unakaza fuvu tu ..legeza kidogo uelewe, katika makuzi ya mtoto hasa wale watundu ..kila kitu atataka kujaribu ..Sasa ni jukumu lako wewe kumfundisha hii mbaya hii nzuri ..na hata akigoma usidhani kwamba ana kiburi bali kwa utoto wake anaona Kama unamnyima haki yake ..wewe kazana kumuelewesha ndio hapo Sasa utatumia fimbo labda au adhabu ingine au maneno ili ajue.
 
acha upumbavu kama kichwa chako kimejaa mavi na umeshindwa kuelewa pita kushoto. Kama mzazi na unashindwa kuijenga akili ya mtoto ujue ni hasara tupu wewe na mtoto wako. Nyie ndio mnalewa watoto kama mayai
 
Katili kushinda Samia na Mchemba?

Ulishawahi kujiuliza uchungu wa kukatwa hela yako ya akiba bank huku hujaizungusha ikakuingizia hata cent?yani mtu anaogopa hata kutoa 10K akanywe soda ila mijitu imejifungia kwenye a/c inasema hela ikatwe.
Ila Cecilia, ana kama miaka 14-15, ni binti mdogo na hahusiki kabisa na Hayo mambo! Ngoja siku Mungu akikupa mtoto utaelewa!
 
Daaah me kwa kweli swimming pool hata nikiwa na hela vipi sitaweka huu ujingaaa...
Chochote usichokipenda utakiona ni cha kijinga..!! Na kutokukipenda kitu kunatokana na mojawapo, baadhi au yote katika haya
1. Uwezo wa kuwa nacho
2. Woga kwenye matumizi yake
3. Previous experience juu ya kitu hicho
4. Mtazamo wako na wa jamii juu ya kitu hicho
5. Kitu hicho kinapatikana wapi
 
Tupo pamoja kwenye hili Rick....

Kuna Swimming pool na ile kitu inaitwa Electric fance....sijawahi kutamani..

Unaweka kuzuia wezi baadaye inakuulia mtoto wako mwenyewe...
Na tunazuia wezi kiasi hiki tukitegemea wapate wapi rizki
 
acha upumbavu kama kichwa chako kimejaa mavi na umeshindwa kuelewa pita kushoto. Kama mzazi na unashindwa kuijenga akili ya mtoto ujue ni hasara tupu wewe na mtoto wako. Nyie ndio mnalewa watoto kama mayai
Wewe kweli kichwa mbovu.
 
Unajua utundu wa watoto mkuu..? Watoto wanapanda wanaingia hadi juu ya dari na mzazi hujui, ni Mungu tu anawalinda... Zamani utotoni me na wadogo zangu tumepanda sana darini na miaka hiyo wiring za umeme zilikua nje nje ni Mungu tu... Kwahio ukiweka electric fance uwe unawasha usiku watoto wakiingia ndani na uwaambie kabisa ina ua maana anaweza kutoroka usiku aruke ukuta aende kidimbwi akidhan electric fance ni urembo
Mtu anayeruka na kwenda kidimbwi hajui hii ni electrical fance kweli? Labda ungesema watoto wadogo,usahau kuzima mchana,then achukue ngazi,apande juu,aguse hizo electrical fance,lakini mtoto hadi anaruka ukuta huyu ni mtu mzima! Mtoto under 18 hata huko kidimbwi anaendaje??
 
Electrical fence tembea uone usije fikiria electrical fence kila aliyenayo anahela kuliko wasio nazo! Ujinga tu mda mwingine wa kujimwambafai! Hata jumba la Mengi kule Machame hatukuona electrical fence ila kinyampa mmoja mwenye milioni 50 bank anavimba kwa electrical fence!
Wewe nae sijui wa wapi,unadhani hiyo nyumba ya Mengi haina security system kama Camera kila kona?? Kiasi cha kwamba anakuona toka unaanza kusogea Area zone yake?? Au wewe unajua electrical fance pekee ndiyo ulinzi?? Ikulu ya Dsm na Chamwino mbona hazina Electrical fance?? Kipindi cha Kikwete mke wa Mrema aliwahi ruka fance ya Ikulu akitaka kwenda onana na Rais! Hadi kuna dada alizaa mtoto,akaenda kumtupa ndani ya ukuta wa Ikulu,alimrusha ndani, Kikwete kamlea hadi kakua! Sijui kwa sasa yuko wapi
 
Back
Top Bottom