muhweza
JF-Expert Member
- Feb 22, 2022
- 986
- 1,394
Kamtoa kafara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamtoa kafara
Ilikuwa usiku...Alishika hizo waya? Maana na sisi tunajipanga tuweke kuzuia vibaka ila umenitisha
Unawajua Watoto vyema Mkuu?Electric Fance mtoto anafikaje juu ?
Kabisa Mkuu... hii ndiyo kitu wanakosea..Shida kuu ya electric fence naona ipo kwa mafundi wanao install hiyo system siku hizi , kuna ethics zinakosewa ambazo zina compromise usalama , kwa engo la kujipatia faida tu
Mfano urefu wa ukuta ni muhimu sana , sasa fundi anakuta umejenga ukuta mfupi badala ya kushauri ukuta urefushwe ye ana install system, unauwa majirani na wanao
Ilikuwa usiku...Fence ilimfanyaje jmn
Mchana si inazimwa au ilikua usiku?
Zinaua....Nilidhani electric fence zinatetemesha tu kumbe zinaua kabisa?!
Huyu kamuwahisha mwanaehuyu binti mama yake alishakufa pia nafikiri last year ndio Mh Mbunge akavuta mbunge mwenzie, sadly amemfuata mama yake immeaditely. Watu wa spiritual watasema kitu hapa, au wale ndugu zetu wa manyanga nao lazima watie neno.
Kwani kushupalia hivyo vitu ndiyo kumekufanya uongee yote hayo Mkuu?Masikini tunajipa matunaini Sana !
Bodaboda zinaua na kuchinja watu wengi kuliko hata hizo swimming pool na Electric fence Ila mnavyoshupalia hapa utadhani huwa hampandi Bodaboda.
Watu wanakufa hata Kwa kupaliwa na Maji cha msingi ni kuwa makini.
Bora uzima uwezi juaUsijikinai hivyo, hata wewe unaweza kuwa na hivyo vyote.
Unawajua Watoto vyema Mkuu?
Samahani lakini....
Swimming pool kiukweli Sisi huwa hatufuatilii taratibu zake, lazima uwe trained jinsi ya kuogelea mule, hasa wale wanaopanda juu ya ile board spring na ku dive ndani ya pool. Kama huna techniques za kutosha lazima ubamize utosi sakafuni na mauti ni fasta...Daaah me kwa kweli swimming pool hata nikiwa na hela vipi sitaweka huu ujingaaa...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani kushupalia hivyo vitu ndiyo kumekufanya uongee yote hayo Mkuu?
Wapi mada imeandikwa boda boda na maskini tukasema hatupandi?
Comment yangu nimeandika Issue nyingine wewe unakuja na mambo ya Bodaboda....
Anyway....Nimekuelewa kwa niaba ya maskini na wapanda bodaboda wote.