TANZIA Mtoto wa Mbunge Cecil Mwambe afariki dunia kwenye swimming pool

TANZIA Mtoto wa Mbunge Cecil Mwambe afariki dunia kwenye swimming pool

hata niwe na pesa nyingi za kuchezea swimming pool siwez kujenga nyumban kwangu... Hata watoto wangu sitak wajue kuogelea, mimi maji yakinifika kwenye magoti nageuza kwa kukimbia
😂Wanao wakipenda kuogolea utawakataza??
 
Huenda ikawa ni ndugu ama wasiwe na undugu, hilo jina Mwambe ni jina tu kule kusini ni sawa na ukienda Kilimanjaro na wingi wa jina la Chuwa au Mosha nk.
Ni ndugu na wamegawana majimbo
 
Duh.......!

RIP Beatrice

RIP Cecilia
Poleni Familia Mkuu kumbe ulikuwa unamjua Beatrice Alikuwa rafiki yangu sanaa kabla ya Siku mbili kitokee kufo chake tulichat kwa Whatsup ila ni kama Alikuwa Ananiaga wapendwa tupendaneni tu hakuna kitu kinauma kama kufuta namba ya Mtu Aliekufa Uliekuwa una Uhusiano nae[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Binafsi sikujua kama Beatrice alifariki ila nimejua kupitia Uzi huu

Nilimfahamu Beatrice 1998 wakiwa darasa moja na Cecil lakini kabla hawajaanza mahusiano
 
Mtoto alikuwa anasoma St. Mary’s Mazinde Juu, Lushoto. Alikua shule muda wote, form two walifunga shule tarehe 19 August, kwa hiyo alikuwa haja kaa nyumbani hata wiki moja! Wenzake wana rudi shuleni weekend hii! So sad, pole sana Mwambe, mtoto wangu alikuwa anasoma na Cecilia, amesema ni binti mwenye nidhamu, mtiifu, asiye na makuu na uwezo mzuri sana wa masomo!
sema ninachoshangaa hilo swimming pool si analijua ana anajua kina chake... daah alidive kwa force kubwa sehemu pafupi hatari sana
 
Watoto inabidi wawe chini ya uangalizi muda wote.
Swimming pool inahitaji awepo attendant muda wote
Longtime ile pool ya mambo club obay nshadumbukiaga nlikuwa mtungi mbaya
Alafu ujinga mwingine wa pool hizi utakuta juu wanafunika liplastiki likubwa sasa ole wako udumbukie liplastiki likufunike likubane
Hatar sana

Ova
 
Kuna sku tulikua kwenye program moja iv iko recoded sasa ikawa tuko hotelin kwenye swiming mm nmekaa kanda ya ziwa zaid ya miaka 13 wenzangu wa kanda ya ziwa wanaogelea kama kambale nkasema ngoja na m nijtose kwenye hayo maji asee amna rangi skuona kumbe nljrushia parefu nkawa nakunywa maji tu wao wananletea kamera wakdhan n mbwembwe zangu nlipambana sana mpka kufka kwenye ukingo wa swimng nkatoka maskion maj yanatoka yamoto puan maji yanashuka inshot sitak mazoe na maji hata ya kwenye ndoo naoga fasta natoka
Hahahaha

Ova
 
Huwezi furahia maisha kwa kupata fedha just simple kugonga gonga meza huku zikipita sheria kichaa za kuwaumiza wengi ukijifariji hutakutana nazo.

Mimi kama mwananchi ninayekwazika na hawa watu wanavyotuongoza hii nchi wala sijasikitika na hii habari.
 
Katili sana wewe
 
Binafsi sikujua kama Beatrice alifariki ila nimejua kupitia Uzi huu

Nilimfahamu Beatrice 1998 wakiwa darasa moja na Cecil lakini kabla hawajaanza mahusiano
Beatrice ni jina la marehem mke wake? Au
Maana hata mwanae WA kwanza anaitwa beatrice
 
Back
Top Bottom