Pole wafiwa, tho kuna vitu nyumbani sio lazima.
Kwa wenye pesa ni kuzuri ila sometimes sio salama.
Kuna nyumba nilienda wiki mbili zilizopita, ofcause ni sehem matajiri wanapo ishi, kule hata boda boda kukutana nae ni nadra.
Nikiwa nimekaa nacheki yale mazingira, nikayatamani ila nikajiuliza haya maua yaliyopandwa kwenye ndoo afu ndoo zimeninginizwa kwa juu hivi humu hakuna watoto? Ni kweli alie design mule ni fund, mazingira ya nje yanavutua sana ila lile lindoo gafla lichomoke hukoo juu na mtoto yupo hapo nini kinatokea?
Kweli sehemu ni tulivu humo sauti za ndege ndo zinasikika. Nikajifanya kumuuliza maza house, " mama mbona hapa pako kimya hata wajukuu wa kukupigia kelele hakuna?"
Akanijibu wajukuu wako majuu na wazazi wao, wengine wako uk ndo naenda kuwatembelea, ikiwezekana nitapita canada kijana wangu yupo huko na wajukuu wengine wako huko, nikaguna moyoni mmmmmmh ndo maanaaaa.
Na hilo li swimming pool limo, sasa najiuliza nani analitumia wazee wa vile nao wanaogelea ili iweje?
Enewe pipo havu laifu.