TANZIA Mtoto wa Mbunge Cecil Mwambe afariki dunia kwenye swimming pool

TANZIA Mtoto wa Mbunge Cecil Mwambe afariki dunia kwenye swimming pool

Alishika hizo waya? Maana na sisi tunajipanga tuweke kuzuia vibaka ila umenitisha
Ilikuwa usiku...

Alikuwa anatabia ya kuruka Uzio....hiyo siku amerudi Akafanya kama kawaida....kumbe zilikuwa zimewashwa tayari...Inasemekana Dada ndiyo alikuwa ana ratiba ya kuziwasha...na alikuwa hawashi hadi amuone huyo Dogo amerudi...

Sasa siku ya tukio haikujulikana nani aliwasha...Maana Baba yake alikuwa/ ni wale Wababa wakali mno....
 
Shida kuu ya electric fence naona ipo kwa mafundi wanao install hiyo system siku hizi , kuna ethics zinakosewa ambazo zina compromise usalama , kwa engo la kujipatia faida tu
Mfano urefu wa ukuta ni muhimu sana , sasa fundi anakuta umejenga ukuta mfupi badala ya kushauri ukuta urefushwe ye ana install system, unauwa majirani na wanao
Kabisa Mkuu... hii ndiyo kitu wanakosea..
 
huyu binti mama yake alishakufa pia nafikiri last year ndio Mh Mbunge akavuta mbunge mwenzie, sadly amemfuata mama yake immeaditely. Watu wa spiritual watasema kitu hapa, au wale ndugu zetu wa manyanga nao lazima watie neno.
Huyu kamuwahisha mwanae
 
Masikini tunajipa matunaini Sana !

Bodaboda zinaua na kuchinja watu wengi kuliko hata hizo swimming pool na Electric fence Ila mnavyoshupalia hapa utadhani huwa hampandi Bodaboda.

Watu wanakufa hata Kwa kupaliwa na Maji cha msingi ni kuwa makini.
Kwani kushupalia hivyo vitu ndiyo kumekufanya uongee yote hayo Mkuu?

Wapi mada imeandikwa boda boda na maskini tukasema hatupandi?

Comment yangu nimeandika Issue nyingine wewe unakuja na mambo ya Bodaboda....

Anyway....Nimekuelewa kwa niaba ya maskini na wapanda bodaboda wote.
 
Nawajua vyema sana mkuu, nimekuwa mwalimu wa watoto, nimehudumia watoto , nimetunza watoto. Najua saikolojia watoto kwa sehemu kubwa sana na ninajua mapungufu ya malezi kwa hiki kizazi cha sasa. Moja ya Kazi zangu ina ni link moja kwa moja na malezi na makuzi katika jamii
Unawajua Watoto vyema Mkuu?
Samahani lakini....
 
Ubunge hata miaka Kumi bado anamiliki nyumba mpaka zenye swimming pool ebanae siasa za Tz ulaji upo mwingi sana
Any way Mungu umrehemu kijana ampe pumziko la Amani
 
Swimming pool nyumbani kwa mahitaji gani ya kuogelea hayo? Ushamba mzigo
 
Huyo mbunge atumie "akili"kulinda familia yake...
 
Daaah me kwa kweli swimming pool hata nikiwa na hela vipi sitaweka huu ujingaaa...
Swimming pool kiukweli Sisi huwa hatufuatilii taratibu zake, lazima uwe trained jinsi ya kuogelea mule, hasa wale wanaopanda juu ya ile board spring na ku dive ndani ya pool. Kama huna techniques za kutosha lazima ubamize utosi sakafuni na mauti ni fasta...
 
Kwani kushupalia hivyo vitu ndiyo kumekufanya uongee yote hayo Mkuu?

Wapi mada imeandikwa boda boda na maskini tukasema hatupandi?

Comment yangu nimeandika Issue nyingine wewe unakuja na mambo ya Bodaboda....

Anyway....Nimekuelewa kwa niaba ya maskini na wapanda bodaboda wote.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu jamaa kuna nuksi zinamfuatilia ama?

Kapoteza mke muda si mrefu na sasa mtoto
 
2000V minimum mtu akizigusa lazima asepe. Fence ya umeme au swimming pool sio vitu vya lazima sana.
 
Back
Top Bottom