TANZIA Mtoto wa Mbunge Cecil Mwambe afariki dunia kwenye swimming pool

itamtafuna sana hiyo akamuulize marehemu mmiliki wa mabasi ya sauli
 
Daaah me kwa kweli swimming pool hata nikiwa na hela vipi sitaweka huu ujingaaa...
Wewe kama mimi nilishawishiwa sana weka nikasema NO sitaki kuleta maafa kwa family yangu hata kwa wageni maana nimeshuhudia, nimesikia watoto wanapoteza maisha in seconds. Hili nimelikataa kabisa.
 
Hizo electrical fence ni ulimbukeni tu wa wabongo! Wapo matajiri kibao hawana huo ujinga hasan nchi za watu wanaojielewa!
Sababu zinazo fanya sisi Waafrika na nchi maskini tuweke hizo electric fance hazipo kabisa kwa nchi za 'watu wanao jielewa'
 
Hapana mkuu, huyu ni Cecil yule ambaye gari ilishika moto anaitwa Geoffrey, wote na Mwambe lakini Cecil Mwambe ni mbunge wa Ndanda na Geoffrey ni mbunge wa Masasi.


Kumbe ni wamakonde wote ?!
Okey!
 
Sasa kama ni mtoto wa form 2 Mbona ni mkubwa huyo wa kuweza kujisimamia mwenyewe jamani ?!
Au ni mitihani tu ya Allah ??!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…