TANZIA Mtoto wa Mbunge Cecil Mwambe afariki dunia kwenye swimming pool

yaah noma sana kuna yule msanii wa africa sijui 2face nae alizika mwanae kisa swimming pool
Niliwahi kuhudhuria msiba wa mtoto mmoja alikufa sababu ya hizo Electric fance....

Mimi kuna mambo kwa kweli hata kama sina hela sijawahi kutamani....

Then huwa wanasema maji ya kwenye swimming pool yana nguvu sana....kunywa vikombe au kupoteza maisha ni Rahisi sana..
 
Maji hata ya kimo cha kiuno yanaua

Maji hayana ubingwa

Ova
 
Alishika hizo waya? Maana na sisi tunajipanga tuweke kuzuia vibaka ila umenitisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…