Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
tujitahidi angalau kupeleka watoto kwenye madarasa kujifunza hivi vitu vidogo vidogo kama kuogelea, boxing, karate nk, madarasa ya language tofauti tofauti nk. Vinasaidia angalau kuwajenga na kulingana na dunia ya sasa.