Mtoto wa miaka mitatu awekwa unyumba na Baba yake mzazi

Mama mtu yuko wapi?

Inawezekanaje hii? Si mtoto atakuwa analia sana kila siku na kuoza?

Sisi watu wazima, ukiumia leo walau ukae siku kadhaa parudi, na hapo si bikra, ni basi tu mtu anakamia siku hiyo……
Me yeyote anayekamia hana akili hata nukta, hakuna Me timamu ashindane na alipotokea na akashinda.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Huu uongo, miaka mitatu haiwezekani kumuweka kinyumba hadi awe anaenda kuoga nae? Ina maana huyo mtoto hajaumia tuu au kujeruhiwa hadi atembee akaoge nae? Acheni uongo.
 
Unajua miaka 3 ni kipimo ambacho ukifikiria sipati picha mimi kama mzazi
 
..................., inaelezwa ameanza kupitia maswaibu angali bado akiwa kinda (mdogo sana).........l

Source - JamboTv
Hiyo sentensi imeniudhi kwelikweli, ina maana hapo amekua kidogo?!!!!
 
Mama mtu yuko wapi?

Inawezekanaje hii? Si mtoto atakuwa analia sana kila siku na kuoza?

Sisi watu wazima, ukiumia leo walau ukae siku kadhaa parudi, na hapo si bikra, ni basi tu mtu anakamia siku hiyo……

Unadhan wanawake wengi wanazaa ili kulea?ilimradi amezaa tu tu basi yeye hajui hayo
 
Waganga wanatambuliwa na serikali. Waganga ndio wanaaoshauri watu kubaka ili kufanikiwa kibiashara. Waganga wanakingiwa kifua na wafanya biashara.
Angekuwa mchungaji ama shehe anaagiza mtu abake ingekuwa issue nyingine ila kwa mganga haguswi.
Umenena vyema, waganga wakiona wanekupa dawa hufanikiwi wanakupa masharti magumu ili ukamatwe na kufungwa
 
Unadhan wanawake wengi wanazaa ili kulea?ilimradi amezaa tu tu basi yeye hajui hayo
Shenzi kweli!

Halafu wao ndio midomo mbele kuwasema ambao hawajazaa. Wanawake tubadilike aisee, mimi mama yangu anasemaga mtoto ni wa mama, hakikisha kila unapoenda unabeba mzigo wako usimuamini kumuachia mtu. Labda kama haupo duniani.
 
Nadhani huwa kunakuwa na sababu za kishirikina nyuma ya haya matukio.
 
Duh! Hii sasa ndo kubwa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…