Mtoto wa miaka mitatu awekwa unyumba na Baba yake mzazi

Mtoto wa miaka mitatu awekwa unyumba na Baba yake mzazi

Kuna msemo unaosema ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, tukio la Baba mzazi mkazi wa mtaa wa Mafisa, Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kudaiwa kumuweka unyumba mtoto wake wa kike wa miaka mitatu limewachukiza wengi huku baadhi ya wananchi wakiiomba serikali kuchukua hatua kali zaidi kwa mtuhumiwa huyo ili iwe fundisho kwa wengine


Source - JamboTv
Hivi kuna haja gani ya kusubiri serikali juu ya huu ukatili?
 
Back
Top Bottom