Chwekamu
JF-Expert Member
- Nov 1, 2017
- 507
- 497
Hiyo Ni njaa mpe chakula ashibe.Msaada wa haraka mtoto wa miezi 2 analia mpaka napata wasiwasi tatizo linaweza kuwa nini mbaya zaidi maziwa hataki kunyonya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo Ni njaa mpe chakula ashibe.Msaada wa haraka mtoto wa miezi 2 analia mpaka napata wasiwasi tatizo linaweza kuwa nini mbaya zaidi maziwa hataki kunyonya
Kulia sana kwa mtoto wa umri huo ni ishara kwamba maziwa anayonyonya kutoka kwa mama yake hayamtoshi au hayana virutubisho vyote anavyovihitaji mtoto. Kwa maneno machache ni kuwa hashibi huyo!... Jitahidi upate maziwa ya kopo umuanzishie sambamba na maziwa machache ya mama.
Tatizo kama hili lilimpata mwanangu wa miezi2 mwezi uliopita dogo hataki kunyonya analia mfululizo, hospital wakampa panadol, nikaanza kumpa maziwa ya LACTOGEN-1 saivi fresh tu.Msaada wa haraka mtoto wa miezi 2 analia mpaka napata wasiwasi tatizo linaweza kuwa nini mbaya zaidi maziwa hataki kunyonya
Kwa taaluma ya "Nyungu" inaitwaje?Hilo litakuwa tumbo la watoto wachanga Kitaalamu inaitwa colic.
Hutokea watoto wengi, Hali hiyo haina dawa ya kutibu ila vitulizo tu Kama grip water.
Hakikisha Kila baada ya kumnyonyesha unambeulisha kwa kumuweka begani halafu unamsugua mgongo Hadi abeue kuto Ile gas iliyoingia wakati ananyonya.Sababu gas nayo huchangia tumbo la uchanga kuuma
Tumbo la uchanga Huisha yenyewe mtoto akifikisha miezi mitatu. Pole ndo umama
Yawezekana tumbo ila yawezekana pia njaa.Mresho naona ni tumbo maana nimempa maji ya uvuguvugu yalichangwanya na chumvi na sukari kama memba alishauri kanyamaza na usingizi juu
Umekariri kweli kweli wewe, hebu linganisha hicho ulichokariri na tatizo aliloliainisha mtoa mada.... utaelewa tu!.Acha upotoshaji. Maziwa ya mama yanajitosheleza kwa miezi sita ya mwanzo Yana Maji na virutubisho vyote vinavyotakiwa kwenye ukuaji wa mtoto.
Utakuwa umekariri kile ulichofundishwa hadi nukta....Huu ni upotoshaji