malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Wakuu analia sana sio anakuaTulia sasa,,,ana umri gani? Jinsia gani?
upo mbali na ospitali?Wakuu analia sana sio anakua
Mkuu Huku hospital yakutibu usiku hakuna zaid ya dripu tu na NES wazamuupo mbali na ospitali?
Chumvi mawe mkuu kama haipo karibu inakuwaje hapoZongo ilo... chukua maji mpe anywe chukua maji vugu vugu muogeshe changanya na chumvi mawe
Mkuu Huku hospital yakutibu usiku hakuna zaid ya dripu tu na NES wazamu
Ni ukweliMpe Panadol ya maji Yaezekana ni Meno yanaanza toka hivyo vizi zinaanza kuuma..
Ila wakati umempa panadol ya ki mtoto mpeleke hospital aangaliwa na dokta wa watoto.
Watoto hawaezi sema wapi panapouma au kuumia hivyo njia yake ya kuotafuta msaada ni kulia.
Ila vitu ambavyo watoto hupelekea kulia ni
Njaa
Joto(Hapa kwenye joto ki ukwel familia nyingi zimefeli yaaani tunautamaduni kumjaza mtoto manguo mengi na kuishi vyumba ambavyo haviingizi hewa ya kutosha)
Maumivi kama ya Tumbo kujaa gesi, meno kuota
Kuumwa.
Zongo ilo... chukua maji mpe anywe chukua maji vugu vugu muogeshe changanya na chumvi mawe
Pole sana!Habai wakuu mtoto gafla mda huu takriban masaa mawili na zaid analia bila kunyamanza..mama yake alikua katoka nyumbani kwenda kusalimia sehemu baada yakurudi jioni mtoto kaanza kuia bila kunyamanza.
Hii inaweza kuwa shida gani?
Dege dege hiyo nahisi mkuuHabai wakuu mtoto gafla mda huu takriban masaa mawili na zaid analia bila kunyamanza..mama yake alikua katoka nyumbani kwenda kusalimia sehemu baada yakurudi jioni mtoto kaanza kuia bila kunyamanza.
Hii inaweza kuwa shida gani?
Wahi hospital, hata kama ni nurse ndio yupo,,,,,mtoto kulia hata kubembeleza hataki (inconsolable) ina maana kuna kitu serious inayohitaji uchunguzi na sio hisia tu na kuanza kutoa Panadol. Kila dawa hutolewa kwa sababu maalumu, sasa huku mtandaoni utashauriwa sijui mpe dawa fulani lakini jiulize hiyo dawa unampa mtoto kutibu nini?Habai wakuu mtoto gafla mda huu takriban masaa mawili na zaid analia bila kunyamanza..mama yake alikua katoka nyumbani kwenda kusalimia sehemu baada yakurudi jioni mtoto kaanza kuia bila kunyamanza.
Hii inaweza kuwa shida gani?
Haaaa kumbe hii inawezekanapole mkuu..japo sijaelewa maelezo ya mama yake kutoka kwenda kusalimia kisha kurud mtoto analia ghafla..je yanahusiana nin?? au ulikuwa na ulazima gani kuyaweka?? ingetosha kusema mtoto ameanza kulia ghafla .au unafkiri ni nin shida?? maana mie hapa naweza kusema LABDA mama yake alienda kuchepuka na amerud na janaba hivyo mizimu ya mtoto inagoma kukaa na mama hadi aoge hilo janaba....kama unanielewa bas ushanielewa.....naweka mic chini bwana mc🥹🥹😀😀
Dege dege bila homa...mtoto alikua vizur haumwi chochoteDege dege hiyo nahisi mkuu