malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
- Thread starter
- #21
WakikeKama wakiume ,angalia kende zipo ,au zimeingia tumboni kama ndivo waisha hospitali ya jirani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WakikeKama wakiume ,angalia kende zipo ,au zimeingia tumboni kama ndivo waisha hospitali ya jirani
Wahi nae hospitali basi mkuuDege dege bila homa...mtoto alikua vizur haumwi chochote
Aogee maji ya chumvi na mama yakeHabai wakuu mtoto gafla mda huu takriban masaa mawili na zaid analia bila kunyamanza..mama yake alikua katoka nyumbani kwenda kusalimia sehemu baada yakurudi jioni mtoto kaanza kuia bila kunyamanza.
Hii inaweza kuwa shida gani?
mkuu Zongo hilo. wangu ana mwaka na nusu . alilia gafla tu mpaka tunajiuliza kawaje . yaani ililia akipewa ziwa na mama yake hataki. Kumbe katupiwa zongo bwana tulimkimbiza mama aka alimkimbiza kwa bibi mmoja akamfanyia dawa za kisambaa . mtoto akalala , asubuhi kaamka anacheza kawaidaDege dege bila homa...mtoto alikua vizur haumwi chochote
Mama yake huenda alikutana na mwanaume huko alikokwenda halafu aliporudi alimgusa mtoto kabla ya kuoga na kubadilisha nguo.Habai wakuu mtoto gafla mda huu takriban masaa mawili na zaid analia bila kunyamanza..mama yake alikua katoka nyumbani kwenda kusalimia sehemu baada yakurudi jioni mtoto kaanza kuia bila kunyamanza.
Hii inaweza kuwa shida gani?
Nakubali ana naweWahi hospital, hata kama ni nurse ndio yupo,,,,,mtoto kulia hata kubembeleza hataki (inconsolable) ina maana kuna kitu serious inayohitaji uchunguzi na sio hisia tu na kuanza kutoa Panadol. Kila dawa hutolewa kwa sababu maalumu, sasa huku mtandaoni utashauriwa sijui mpe dawa fulani lakini jiulize hiyo dawa unampa mtoto kutibu nini?
Muwahishe mtoto kituo cha afya kilichoko karibu, hata kama ni nurse ndio yupo anajua dalili za dharura (emergency and urgency signs and symptoms )
na pia anajua namna ya kumchunguza mgonjwa,,,kwa hiyo usiache kumpeleka hospital eti kwa sababu kituo kilichopo watatoa sijui dripu tu,,,,
Kila lakheri
HuwendaMama yake huenda alikutana na mwanaume huko alikokwenda halafu aliporudi alimgusa mtoto kabla ya kuoga na kubadilisha nguo.
Mosi, Umemvisha nguo nyingi zinamghasi.Chunguza Hilo kwanza mbadilishie hizo nguo.Habai wakuu mtoto gafla mda huu takriban masaa mawili na zaid analia bila kunyamanza..mama yake alikua katoka nyumbani kwenda kusalimia sehemu baada yakurudi jioni mtoto kaanza kuia bila kunyamanza.
Hii inaweza kuwa shida gani?
😀Mkuu sio poa duu konyagiMpeleke hospitali hapa tutakisia tu, labda meno yanaanza kuota, tumbo limejaa gesi au tatizo lolote la kiafya....mimi niliambiwa nilivyokuwa mdogo nikisumbua kwa kulia nilikuwa nanyweshwa konyagi kidogo nasinzia ila sishauri hiyo tiba, nafikiri ndio maana akili zangu hazijakaa sawa
itakuwa chango ,mwambie mkeo mtoto ajitahidi kulalia tumbo mudawote alalapoWakike
Mshike mikono yote miwili, mnyanyue kama unataka kumrusha vile, fanya mara 5atu au zaidi. Rudia kwa kumshika miguu yote miwili, mnyanyue vivyo hivyo, kichwa kikielekea chini.Dege dege bila homa...mtoto alikua vizur haumwi chochote
Mrudishe kwao,Kwa Babu au Bibi yake ukizingua atakata moto si mnajifanyga mumeokokaHabai wakuu mtoto gafla mda huu takriban masaa mawili na zaid analia bila kunyamanza..mama yake alikua katoka nyumbani kwenda kusalimia sehemu baada yakurudi jioni mtoto kaanza kuia bila kunyamanza.
Hii inaweza kuwa shida gani?
Akilia zaidi atakufa. Dawa ni hospitaliHabai wakuu mtoto gafla mda huu takriban masaa mawili na zaid analia bila kunyamanza..mama yake alikua katoka nyumbani kwenda kusalimia sehemu baada yakurudi jioni mtoto kaanza kuia bila kunyamanza.
Hii inaweza kuwa shida gani?
Tumbo limeja gasHabai wakuu mtoto gafla mda huu takriban masaa mawili na zaid analia bila kunyamanza..mama yake alikua katoka nyumbani kwenda kusalimia sehemu baada yakurudi jioni mtoto kaanza kuia bila kunyamanza.
Hii inaweza kuwa shida gani?