Mtoto wa miezi 6.5 takriban masaa mawili analia bila kunyamanza shida inaweza kuwa nini?

Mtoto wa miezi 6.5 takriban masaa mawili analia bila kunyamanza shida inaweza kuwa nini?

Habai wakuu mtoto gafla mda huu takriban masaa mawili na zaid analia bila kunyamanza..mama yake alikua katoka nyumbani kwenda kusalimia sehemu baada yakurudi jioni mtoto kaanza kuia bila kunyamanza.

Hii inaweza kuwa shida gani?
Aogee maji ya chumvi na mama yake
 
Dege dege bila homa...mtoto alikua vizur haumwi chochote
mkuu Zongo hilo. wangu ana mwaka na nusu . alilia gafla tu mpaka tunajiuliza kawaje . yaani ililia akipewa ziwa na mama yake hataki. Kumbe katupiwa zongo bwana tulimkimbiza mama aka alimkimbiza kwa bibi mmoja akamfanyia dawa za kisambaa . mtoto akalala , asubuhi kaamka anacheza kawaida
 
Kwanini useme mama yake kuna sehemu alienda alivyorudi mtoto akaanza kulia,ni kama kuna mawazo uliyonayo labda mama ametoka kuchepuka,maana kama mtoto analia kwa masaa mawili halafu unakuja kuuliza huku mitandaoni kweli?Hakuna hata majirani hapo ,mtoto masaa mawili analia hiyo nguvu ya kuandika umeitowa wapi?ok mshughulikie mtoto jaribu kumlaza na tumbo vilevile ili kama ni gesi inasaidia acheuwe,mtoto akushapona jitambuwe kuwa wewe ni baba mpumbavu
 
Habai wakuu mtoto gafla mda huu takriban masaa mawili na zaid analia bila kunyamanza..mama yake alikua katoka nyumbani kwenda kusalimia sehemu baada yakurudi jioni mtoto kaanza kuia bila kunyamanza.

Hii inaweza kuwa shida gani?
Mama yake huenda alikutana na mwanaume huko alikokwenda halafu aliporudi alimgusa mtoto kabla ya kuoga na kubadilisha nguo.
 
Wahi hospital, hata kama ni nurse ndio yupo,,,,,mtoto kulia hata kubembeleza hataki (inconsolable) ina maana kuna kitu serious inayohitaji uchunguzi na sio hisia tu na kuanza kutoa Panadol. Kila dawa hutolewa kwa sababu maalumu, sasa huku mtandaoni utashauriwa sijui mpe dawa fulani lakini jiulize hiyo dawa unampa mtoto kutibu nini?

Muwahishe mtoto kituo cha afya kilichoko karibu, hata kama ni nurse ndio yupo anajua dalili za dharura (emergency and urgency signs and symptoms )
na pia anajua namna ya kumchunguza mgonjwa,,,kwa hiyo usiache kumpeleka hospital eti kwa sababu kituo kilichopo watatoa sijui dripu tu,,,,
Kila lakheri
Nakubali ana nawe
 
Habai wakuu mtoto gafla mda huu takriban masaa mawili na zaid analia bila kunyamanza..mama yake alikua katoka nyumbani kwenda kusalimia sehemu baada yakurudi jioni mtoto kaanza kuia bila kunyamanza.

Hii inaweza kuwa shida gani?
Mosi, Umemvisha nguo nyingi zinamghasi.Chunguza Hilo kwanza mbadilishie hizo nguo.

Pili,Njaa. Mnyonyeshe au MPE chakula tofauti na vya siku zote.

Tatu, Joto au baridi Kali linamsumbua. Angalia hali ya hewani.

Nne, Anahoma . Homa zingine hawezi kuchemka nje mwili.

Tano, Nguvu za giza anasumbuliwa. Hivyo omba Mungu kwa Imani yako ya Dini.

Mengine waongezee wataalamu
 
Mpeleke hospitali hapa tutakisia tu, labda meno yanaanza kuota, tumbo limejaa gesi au tatizo lolote la kiafya....mimi niliambiwa nilivyokuwa mdogo nikisumbua kwa kulia nilikuwa nanyweshwa konyagi kidogo nasinzia ila sishauri hiyo tiba, nafikiri ndio maana akili zangu hazijakaa sawa
😀Mkuu sio poa duu konyagi
 
Piga kofi mbili za maana kumtoa wenge,Alisikika mlevi mmoja kwa kudandia mada asiyoijua,Mtoa mada hauko sirisi huu ndo ushauri unakufaa,uspitali si mbali piga kofi za maana.
 
Dege dege bila homa...mtoto alikua vizur haumwi chochote
Mshike mikono yote miwili, mnyanyue kama unataka kumrusha vile, fanya mara 5atu au zaidi. Rudia kwa kumshika miguu yote miwili, mnyanyue vivyo hivyo, kichwa kikielekea chini.

Naamini shida itaisha mara moja. Anahitaji kunyooshwa viungo.
 
Habai wakuu mtoto gafla mda huu takriban masaa mawili na zaid analia bila kunyamanza..mama yake alikua katoka nyumbani kwenda kusalimia sehemu baada yakurudi jioni mtoto kaanza kuia bila kunyamanza.

Hii inaweza kuwa shida gani?
Mrudishe kwao,Kwa Babu au Bibi yake ukizingua atakata moto si mnajifanyga mumeokoka
 
Habai wakuu mtoto gafla mda huu takriban masaa mawili na zaid analia bila kunyamanza..mama yake alikua katoka nyumbani kwenda kusalimia sehemu baada yakurudi jioni mtoto kaanza kuia bila kunyamanza.

Hii inaweza kuwa shida gani?
Akilia zaidi atakufa. Dawa ni hospitali
 
Habai wakuu mtoto gafla mda huu takriban masaa mawili na zaid analia bila kunyamanza..mama yake alikua katoka nyumbani kwenda kusalimia sehemu baada yakurudi jioni mtoto kaanza kuia bila kunyamanza.

Hii inaweza kuwa shida gani?
Tumbo limeja gas
 
Ukitaka kukosana na mkeo, wakati unarudi nyumbani pitiliza moja kwa moja Hadi bafuni kuoga bila kumgusa mtoto. Wanaamini kwamba ukimgusa mtoto wakati umetoka kulala na mchepuko mtoto atalia mpaka Basi. It applies to the women as well.
Mwambie waif akaoge na kuvaa nguo fresh. Utanishukuru baadaye.
 
Back
Top Bottom