Mtoto wa miezi miwili aacha kunyonya; wazazi wanadai ana majini

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hi

Mtoto wa miezi miwili aacha kunyonya kisa wadudu (jini) inasadikika kuwa mtoto akitaka kunyonya hao wadudu wanatokea na kuaza kumnyonga mtoto mpaka ana acha kunyonya

Mzazi ni mpemba na anakiri kuwa mwanae ana mashetani, walipojaribu kumuombea dua hali ikazidi zaidi kwa hiyo waliamua mtoto aache kunyonya ili mtoto asinyongwe.

Kuna ukweli?
 

Sasa sisi tutajuaje na mpemba hatumjui?
 
Sana sana wataoweza kukujibu ni wazoefu wa majini...

Wazoefu wa kulea hawajui hizo habari za wadudu...

[emoji23][emoji23][emoji23] et majini ivi unajua zanzibar kuna sehemu unawaona live unaongea nao kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…