Mtoto wa miezi miwili aacha kunyonya; wazazi wanadai ana majini

Mtoto wa miezi miwili aacha kunyonya; wazazi wanadai ana majini

Hi

Mtoto wa miezi miwili aacha kunyonya kisa wadudu (jini) inasadikika kuwa mtoto akitaka kunyonya hao wadudu wanatokea na kuaza kumnyonga mtoto mpaka ana acha kunyonya

Mzazi ni mpemba na anakiri kuwa mwanae ana mashetani, walipojaribu kumuombea dua hali ikazidi zaidi kwa hiyo waliamua mtoto aache kunyonya ili mtoto asinyongwe.

Kuna ukweli?
Lete picha sa sisi tutaamini vipi
 
Inawezekana mpemba kapata katoto kana nyota ya ulevi?wajaribu kuanza kukapa beer..mlevi yupo radhi atoe elfu50 alewe,ila sio buku 2 anywe lita ya maziwa.
 
Inawezekana mpemba kapata katoto kana nyota ya ulevi?wajaribu kuanza kukapa beer..mlevi yupo radhi atoe elfu50 alewe,ila sio buku 2 anywe lita ya maziwa.
😂😂😂 balimi au
 
Huyo maza muongo. Ni yeye ana majini.
Uone wadudu ushindwe kuita watu waone au upige picha watu waone.
Dah kesho uje nikupeleke mm nilihisi wamembemenda mtoto
 
Back
Top Bottom