Unatuuliza sisi, huu ni uonevu, story si umeleta wewe?Hi
Mtoto wa miezi miwili aacha kunyonya kisa wadudu (jini) inasadikika kuwa mtoto akitaka kunyonya hao wadudu wanatokea na kuaza kumnyonga mtoto mpaka ana acha kunyonya
Mzazi ni mpemba na anakiri kuwa mwanae ana mashetani, walipojaribu kumuombea dua hali ikazidi zaidi kwa hiyo waliamua mtoto aache kunyonya ili mtoto asinyongwe.
Kuna ukweli?
MhhhhhhhVideo call hat muona good ni mrefu ase kwaza kule wanawake hawaruhusiwi kwenda kama yupo kwenye siku zake
Nacho uliza ni kweli mtoto wa miezi miwli anaweza kuwa na hao waduduUnatuuliza sisi, huu ni uonevu, story si umeleta wewe?
Yah ukiingia unakutana na watu wa kawaida kama sisi ukisonga mbele ndio unakutana nao ukimuona mmoja ww unazimia uku unaliaMhhhhhhh
Wa wapi? UnamsemeaMtoto wa Ali mpemba huyo
Mwanangu alikataa kunyonya akiwa na miezi miwili lakini hakuna shida Yuko poa tuHi
Mtoto wa miezi miwili aacha kunyonya kisa wadudu (jini) inasadikika kuwa mtoto akitaka kunyonya hao wadudu wanatokea na kuaza kumnyonga mtoto mpaka ana acha kunyonya
Mzazi ni mpemba na anakiri kuwa mwanae ana mashetani, walipojaribu kumuombea dua hali ikazidi zaidi kwa hiyo waliamua mtoto aache kunyonya ili mtoto asinyongwe.
Kuna ukweli?
ndugu yake umughaka mtag umaghaka atakupa detail za ali mpembaWa wapi? Unamsemea
Wewe utakuzaba vibao unatuona watoto?[emoji23][emoji23][emoji23] et majini ivi unajua zanzibar kuna sehemu unawaona live unaongea nao kabisa
Wapi mkuuHii taarifa sijaielewa aisee niwe tu mkweli.
Sasa hapo lipi jibu sahihiInawezekana maziwa ya mama mepesi mtoto hashibi kajionea kero bora aache. Au mama kabadilisha mafuta mtoto kajua sio harufu ya mama yake. Au maziwa yamechacha
Huyu kisa ana madudu kichwaniMwanangu alikataa kunyonya akiwa na miezi miwili lakini hakuna shida Yuko poa tu
Yule jamaa mbishi ase ππndugu yake umughaka mtag umaghaka atakupa detail za ali mpemba
Kweli mkuu pata pesa nikupe locationWewe utakuzaba vibao unatuona watoto?
Umeongelea wanawake wa pwani totally au?Wapi mkuu
I second this. Mara nyingi shida tunazopata ni matokeo ya kilichofanyika mwanzo. Iwe ni sisi wenyewe ama waliotutangulia. Katika kitabu cha Imani yangu kuna andiko linasema "Misingi ikiharibika mwenye haki atafanya nini?"Sasa ndio wachunguze huyo mtoto wamempataje pataje,Kama wakati wa mimba alikuwa anatumia dawa za waganga hayo ndio matokeo.Na amrudishe alipo mtoa ndio atapona
ππ Ubarikiwe,umeeleza vizuri sanaaaI second this. Mara nyingi shida tunazopata ni matokeo ya kilichofanyika mwanzo. Iwe ni sisi wenyewe ama waliotutangulia. Katika kitabu cha Imani yangu kuna andiko linasema "Misingi ikiharibika mwenye haki atafanya nini?"
Sasa its either; Mtoto kapigwa zongo ama juju na mama hajui kumswalia mtoto (not sure kama nimepatia), Alimpataje mtoto? Kama alimbeba bwana wa mtu (ombe hiyoko), kama ni mume wake halali je mama ni mtumiaji wa madawa ya shirki. Ukiwa muumini wa uganga na mambo ya mfanano huo ni rahisi sana shetani kupata uhalali kwenye kizazi chako hatimae watoto wanazaliwa na matatizo mbalimbali, ama pia tatizo laweza kuwa kwenye damu nikimaanisha generational penalty from sins done by the past generation.
Kimtaani tunasikiaga watoto ni malaika na hawana dhambi. So kama ni kitu kibaya hata warushiwe vipi wanalindwa. Ukiona mtoto amefikia hapo, kuna tatizo kubwa, na shetani ana uhalali wa kum-own mtoto. Anyways hata niandikeje naweza nisieleweke maana tayari tuko kwenye imani na mienendo ama mafundisho tofauti. Mungu amsaidie aweze kulitatua.