Mtoto wa mke wangu kaniunganishia kademu kazuri balaa

Mtoto wa mke wangu kaniunganishia kademu kazuri balaa

Siku sio nyingi kwa mwenendo huo utamla mpaka huyo mtoto wako wa kufikia wa kike , Kama hiki ulicho kieleza katika maandishi kina ukweli inadhihirisha wazi kuwa nyumba haina utamaduni wa nidhamu hekima na busara, in short hamuheshimiani
😳
 
Nimeoa miaka michache nyuma, mwanamke niliyemuoa nimemkuta ana watoto wawili, mmoja akiwa chuo na mwingine kidato cha nne.

Huyu wa kiume, ambaye pia ni mdogo, kwa sasa yuko kidato cha sita. Na kwa kuwa amekuwa ni kijana mkubwa mara kwa mara nitokapo kwa ajili ya matembezi ya mwisho wa juma , basi huomba niongozane naye.

Kwa hiyo tumekuwa na utamaduni wa kutoka kila Jumamosi usiku ambapo mara nyingi henda BONGA BAR kula mishikaki na kinywaji kidogo.

Sasa jana usiku kanionyesha picha kwenye simu yake, kabinti ni kazuri, ananiambia ana uwezo wa kuniweka hapo ili nikararuwe.

Nimemwambia hebu nipe siku mbili za tafakari. Huyu kijana ananipenda kiasi gani hadi kunitafutia mrembo?

Au katumwa na mama yake anitege?
Unaingiza laana kwenye nyumba yako,shetani hajawahi kuwa mwema kwa binadamu hata siku moja...
 
Back
Top Bottom