cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Hata mie nimewaza hivyo, anawekwa mtegoni, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itakuwa hawamtaki kwenye maisha ya mama yao, hivyo wanataka waachane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mie nimewaza hivyo, anawekwa mtegoni, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itakuwa hawamtaki kwenye maisha ya mama yao, hivyo wanataka waachane
Unaona sasa raha ya kuoa single mother. Mtoto wake amekuwa mshikaji wako. Sasa hapo ukianza kupiga hicho kidemu huyo mkeo anageuka kuwa mama mlezi kwako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeoa miaka michache nyuma, mwanamke niliyemuoa nimemkuta ana watoto wawili, mmoja akiwa chuo na mwingine kidato cha nne.
Huyu wa kiume, ambaye pia ni mdogo, kwa sasa yuko kidato cha sita. Na kwa kuwa amekuwa ni kijana mkubwa mara kwa mara nitokapo kwa ajili ya matembezi ya mwisho wa juma , basi huomba niongozane naye.
Kwa hiyo tumekuwa na utamaduni wa kutoka kila Jumamosi usiku ambapo mara nyingi henda BONGA BAR kula mishikaki na kinywaji kidogo.
Sasa jana usiku kanionyesha picha kwenye simu yake, kabinti ni kazuri, ananiambia ana uwezo wa kuniweka hapo ili nikararuwe.
Nimemwambia hebu nipe siku mbili za tafakari. Huyu kijana ananipenda kiasi gani hadi kunitafutia mrembo?
Au katumwa na mama yake anitege?
Hahaha[emoji23]Hii ni mada iliyojaa Pombe tu.[emoji1787] acha pombe.
Bonga Bar,Kinondoni hiyo. Kuna mishikaki ya nundu mujarabu sana hapo. Kwa ubavuni nasikia kuna Lodge [emoji39]
DuhUnaona sasa raha ya kuoa single mother. Mtoto wake amekuwa mshikaji wako. Sasa hapo ukianza kupiga hicho kidemu huyo mkeo anageuka kuwa mama mlezi kwako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maisha haya jamani loooh
Nimeoa miaka michache nyuma, mwanamke niliyemuoa nimemkuta ana watoto wawili, mmoja akiwa chuo na mwingine kidato cha nne.
Huyu wa kiume, ambaye pia ni mdogo, kwa sasa yuko kidato cha sita. Na kwa kuwa amekuwa ni kijana mkubwa mara kwa mara nitokapo kwa ajili ya matembezi ya mwisho wa juma , basi huomba niongozane naye.
Kwa hiyo tumekuwa na utamaduni wa kutoka kila Jumamosi usiku ambapo mara nyingi henda BONGA BAR kula mishikaki na kinywaji kidogo.
Sasa jana usiku kanionyesha picha kwenye simu yake, kabinti ni kazuri, ananiambia ana uwezo wa kuniweka hapo ili nikararuwe.
Nimemwambia hebu nipe siku mbili za tafakari. Huyu kijana ananipenda kiasi gani hadi kunitafutia mrembo?
Au katumwa na mama yake anitege?
NaamBaba
HelloBaba
Na jini pia lazima life kwa namna hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Linakufa jitu
Naam
Watoto wanatoka kwa Mungu baba, mwanaume njia tuNeno Baba limerahisishwa Sana, ukimpa mimba mwanamke wakati haulei mtoto wewe si Baba, Ni muhuni