Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HatariMpaka kapata guts za kukutaftia demu jitafakari kuna sehemu unakosea kiasi kwamba hata mwanao wa kambo anakuona upo upo tu kama.machizi wake
😂Ushaondoka bar au bado
Ulichoandika hakiendani na kichwa cha habari hata.Nimeoa miaka michache nyuma, mwanamke niliyemuoa nimemkuta ana watoto wawili, mmoja akiwa chuo na mwingine kidato cha nne.
Huyu wa kiume, ambaye pia ni mdogo, kwa sasa yuko kidato cha sita. Na kwa kuwa amekuwa ni kijana mkubwa mara kwa mara nitokapo kwa ajili ya matembezi ya mwisho wa juma , basi huomba niongozane naye.
Kwa hiyo tumekuwa na utamaduni wa kutoka kila jumamosi usiku ambapo mara nyingi henda BONGA BAR kula mishikaki na kinywaji kidogo.
Sasa jana usiku kanionyesha picha kwenye simu yake, kabinti ni kazuri, ananiambia ana uwezo wa kuniweka hapo ili nikararuwe.
Nimemwambia hebu nipe siku mbili za tafakari. Huyu kijana ananipenda kiasi gani hadi kunitafutia mrembo?
Au katumwa na mama yake anitege?
Labda mama yake alimwambia huwa mkazi vizuri, sasa kaamua kutafuta evidence kwa kukupa kadem kabichi, ili ajue kama ni ulegevu wa k ya mama yake au la,ili aanze kukamulia limaoNimeoa miaka michache nyuma, mwanamke niliyemuoa nimemkuta ana watoto wawili, mmoja akiwa chuo na mwingine kidato cha nne.
Huyu wa kiume, ambaye pia ni mdogo, kwa sasa yuko kidato cha sita. Na kwa kuwa amekuwa ni kijana mkubwa mara kwa mara nitokapo kwa ajili ya matembezi ya mwisho wa juma , basi huomba niongozane naye.
Kwa hiyo tumekuwa na utamaduni wa kutoka kila jumamosi usiku ambapo mara nyingi henda BONGA BAR kula mishikaki na kinywaji kidogo.
Sasa jana usiku kanionyesha picha kwenye simu yake, kabinti ni kazuri, ananiambia ana uwezo wa kuniweka hapo ili nikararuwe.
Nimemwambia hebu nipe siku mbili za tafakari. Huyu kijana ananipenda kiasi gani hadi kunitafutia mrembo?
Au katumwa na mama yake anitege?
Nimeoa miaka michache nyuma, mwanamke niliyemuoa nimemkuta ana watoto wawili, mmoja akiwa chuo na mwingine kidato cha nne.
Huyu wa kiume, ambaye pia ni mdogo, kwa sasa yuko kidato cha sita. Na kwa kuwa amekuwa ni kijana mkubwa mara kwa mara nitokapo kwa ajili ya matembezi ya mwisho wa juma , basi huomba niongozane naye.
Kwa hiyo tumekuwa na utamaduni wa kutoka kila Jumamosi usiku ambapo mara nyingi henda BONGA BAR kula mishikaki na kinywaji kidogo.
Sasa jana usiku kanionyesha picha kwenye simu yake, kabinti ni kazuri, ananiambia ana uwezo wa kuniweka hapo ili nikararuwe.
Nimemwambia hebu nipe siku mbili za tafakari. Huyu kijana ananipenda kiasi gani hadi kunitafutia mrembo?
Au katumwa na mama yake anitege?
Dingi anazingua sana, hapo alipaswa amwambie dogo kama kweli anamkubali sana basi amuunganishie kwa huyo dada yake anae soma chuo.mpelekee moto
Kweli Kuna mashetani on earth[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Dingi anazingua sana, hapo alipaswa amwambie dogo kama kweli anamkubali sana basi amuunganishie kwa huyo dada yake anae soma chuo.