Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa.Sababu unalelewa na mama yake nae anakuona ni mtoto wa nyumbani sio baba mwenye nyumba
Nimeoa miaka michache nyuma, mwanamke niliyemuoa nimemkuta ana watoto wawili, mmoja akiwa chuo na mwingine kidato cha nne.
Huyu wa kiume, ambaye pia ni mdogo, kwa sasa yuko kidato cha sita. Na kwa kuwa amekuwa ni kijana mkubwa mara kwa mara nitokapo kwa ajili ya matembezi ya mwisho wa juma , basi huomba niongozane naye.
Kwa hiyo tumekuwa na utamaduni wa kutoka kila Jumamosi usiku ambapo mara nyingi henda BONGA BAR kula mishikaki na kinywaji kidogo.
Sasa jana usiku kanionyesha picha kwenye simu yake, kabinti ni kazuri, ananiambia ana uwezo wa kuniweka hapo ili nikararuwe.
Nimemwambia hebu nipe siku mbili za tafakari. Huyu kijana ananipenda kiasi gani hadi kunitafutia mrembo?
Au katumwa na mama yake anitege?
😀😀😀weka kahawa na tangawizi inoge hio chai
Hapana wanaume huwa tunapasianaNimeoa miaka michache nyuma, mwanamke niliyemuoa nimemkuta ana watoto wawili, mmoja akiwa chuo na mwingine kidato cha nne.
Huyu wa kiume, ambaye pia ni mdogo, kwa sasa yuko kidato cha sita. Na kwa kuwa amekuwa ni kijana mkubwa mara kwa mara nitokapo kwa ajili ya matembezi ya mwisho wa juma , basi huomba niongozane naye.
Kwa hiyo tumekuwa na utamaduni wa kutoka kila Jumamosi usiku ambapo mara nyingi henda BONGA BAR kula mishikaki na kinywaji kidogo.
Sasa jana usiku kanionyesha picha kwenye simu yake, kabinti ni kazuri, ananiambia ana uwezo wa kuniweka hapo ili nikararuwe.
Nimemwambia hebu nipe siku mbili za tafakari. Huyu kijana ananipenda kiasi gani hadi kunitafutia mrembo?
Au katumwa na mama yake anitege?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Dah nimecheka sana, mtego huo mkuu ila wanaume sisi ni risk taker sanaNimeoa miaka michache nyuma, mwanamke niliyemuoa nimemkuta ana watoto wawili, mmoja akiwa chuo na mwingine kidato cha nne.
Huyu wa kiume, ambaye pia ni mdogo, kwa sasa yuko kidato cha sita. Na kwa kuwa amekuwa ni kijana mkubwa mara kwa mara nitokapo kwa ajili ya matembezi ya mwisho wa juma , basi huomba niongozane naye.
Kwa hiyo tumekuwa na utamaduni wa kutoka kila Jumamosi usiku ambapo mara nyingi henda BONGA BAR kula mishikaki na kinywaji kidogo.
Sasa jana usiku kanionyesha picha kwenye simu yake, kabinti ni kazuri, ananiambia ana uwezo wa kuniweka hapo ili nikararuwe.
Nimemwambia hebu nipe siku mbili za tafakari. Huyu kijana ananipenda kiasi gani hadi kunitafutia mrembo?
Au katumwa na mama yake anitege?
Dogo kaupiga sana bro hajastukiaHahahaaa.
Anamuona kama Bro siyo? [emoji3][emoji3]
Hamna adabu na akili.Nimeoa miaka michache nyuma, mwanamke niliyemuoa nimemkuta ana watoto wawili, mmoja akiwa chuo na mwingine kidato cha nne.
Huyu wa kiume, ambaye pia ni mdogo, kwa sasa yuko kidato cha sita. Na kwa kuwa amekuwa ni kijana mkubwa mara kwa mara nitokapo kwa ajili ya matembezi ya mwisho wa juma , basi huomba niongozane naye.
Kwa hiyo tumekuwa na utamaduni wa kutoka kila Jumamosi usiku ambapo mara nyingi henda BONGA BAR kula mishikaki na kinywaji kidogo.
Sasa jana usiku kanionyesha picha kwenye simu yake, kabinti ni kazuri, ananiambia ana uwezo wa kuniweka hapo ili nikararuwe.
Nimemwambia hebu nipe siku mbili za tafakari. Huyu kijana ananipenda kiasi gani hadi kunitafutia mrembo?
Au katumwa na mama yake anitege?
Boss siyo kila kitu ni chai namjua mtu alikuwa anapelekewa pisi kali na shemeji yake mdogo wake dada yake kabisa. Tena mwamba akiwa anagombana na mke wake jamaa ndiyo anamshauri sbemeji yake waondokeChai
Acha kuweka mazoea ya kifala na mtoto wako bablaiNimeoa miaka michache nyuma, mwanamke niliyemuoa nimemkuta ana watoto wawili, mmoja akiwa chuo na mwingine kidato cha nne.
Huyu wa kiume, ambaye pia ni mdogo, kwa sasa yuko kidato cha sita. Na kwa kuwa amekuwa ni kijana mkubwa mara kwa mara nitokapo kwa ajili ya matembezi ya mwisho wa juma , basi huomba niongozane naye.
Kwa hiyo tumekuwa na utamaduni wa kutoka kila Jumamosi usiku ambapo mara nyingi henda BONGA BAR kula mishikaki na kinywaji kidogo.
Sasa jana usiku kanionyesha picha kwenye simu yake, kabinti ni kazuri, ananiambia ana uwezo wa kuniweka hapo ili nikararuwe.
Nimemwambia hebu nipe siku mbili za tafakari. Huyu kijana ananipenda kiasi gani hadi kunitafutia mrembo?
Au katumwa na mama yake anitege?
Nalea kizunguAcha kuweka mazoea ya kifala na mtoto wako bablai
Ila tuna pesa ambazo wewe mwenye adabu na akili huna, umepigika, choka mbayaHamna adabu na akili.
Kweli binamu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Dah nimecheka sana, mtego huo mkuu ila wanaume sisi ni risk taker sana