[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14] nilitegemea kukutana na komenti kama hii[emoji115]NI UTOTO UNAMSUMBUA ataacha akikua.........endelea kum care. ...ingawa anaonekana ana kiburi cha kichaw......
Anyway
MWANAMKE WA KUOLEWA AWE.....BIKRA TU ...
Mwanamke hawezi kukwambia ukweli kuwa baba yake alikuwa anamjali na kumlea vizuri kamwe! Nia yake ni kumkomoa huyo mzazi mwenzie, na anakwambia hivyo ili akupe wewe imani tu, lakini duniani hakuna baba wawili ipo siku watapatana na kuelewana na atamsifia kwa mdomo wake, jipe muda tu.Nilijaribu kumuuliza mwanamke kuhusu malezi ya baba yake akasema ya kawaida sana, jamaa aje amchukue si ndio maana yake akae naye tu maana ndiye anaye mtambua na mama yake hataki mtoto wake aende kwa yule baba.
Upendwe na mtoto wa mkeo ili iweje? Endelea na mambo yako na mamake. Achana nae.Imetokea na huwa inatokea mtoto wa mkeo hakupendi. Umeamua kuishi au kuoa mke ambaye hana kazi ana mtoto mmoja wa kike au wa kiume mwenye umri wa miaka 4 sasa mkeo anajaribu kumwambia mtoto kuwa wewe ndiye baba yake au baba wa kambo mtoto hataki na ukijaribu kuwa karibu na yeye hakubali, unamletea juice, pipi, biscuit mara kwa mara kama zawadi hataki, siku moja mkiwa wawili wewe na mkeo mama anamuuliza mbele yako huyu nani anasema hajui
Wenye uzoefu na haya mambo unafanyaje, kwanza mama hajisikii vizuri mtoto kutokuwa karibu na wewe na hataki kukusogelea ukizingatia kuwa mkeo alikwambia kuishi na mimi lazima umkubali mwanaye. Zingatia kwamba mkeo hana tena wazazi kwamba angempeleka mtoto kwa bibi yake.
Tunafanyaje kwa mfano huu.
Mwanadamu haridhiki! Diamond kamkana Mzee Abdul ukubwani; "oh, anamkana kwa sababu wanamuona maskini"! Dogo kaanza kukana mapemaaa kabla hajajua umaskini na utajiri" napo inageuka nongwa!!Imetokea na huwa inatokea mtoto wa mkeo hakupendi. Umeamua kuishi au kuoa mke ambaye hana kazi ana mtoto mmoja wa kike au wa kiume mwenye umri wa miaka 4 sasa mkeo anajaribu kumwambia mtoto kuwa wewe ndiye baba yake au baba wa kambo mtoto hataki na ukijaribu kuwa karibu na yeye hakubali, unamletea juice, pipi, biscuit mara kwa mara kama zawadi hataki, siku moja mkiwa wawili wewe na mkeo mama anamuuliza mbele yako huyu nani anasema hajui
😂😂😂😂 kila siku watu wanaongelea hili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14] nilitegemea kukutana na komenti kama hii[emoji115]
Uoa ambaye hana mtotoImetokea na huwa inatokea mtoto wa mkeo hakupendi. Umeamua kuishi au kuoa mke ambaye hana kazi ana mtoto mmoja wa kike au wa kiume mwenye umri wa miaka 4 sasa mkeo anajaribu kumwambia mtoto kuwa wewe ndiye baba yake au baba wa kambo mtoto hataki na ukijaribu kuwa karibu na yeye hakubali, unamletea juice, pipi, biscuit mara kwa mara kama zawadi hataki, siku moja mkiwa wawili wewe na mkeo mama anamuuliza mbele yako huyu nani anasema hajui
Wenye uzoefu na haya mambo unafanyaje, kwanza mama hajisikii vizuri mtoto kutokuwa karibu na wewe na hataki kukusogelea ukizingatia kuwa mkeo alikwambia kuishi na mimi lazima umkubali mwanaye. Zingatia kwamba mkeo hana tena wazazi kwamba angempeleka mtoto kwa bibi yake.
Tunafanyaje kwa mfano huu.
Uko sahihihahahah jf hatari sana .. unajua watu kila leo wanashauriwa kuhusu hili jambo la viwanja vyenye mgogoro lakini ndi kwanza wana nunua...
halafu nkulazimisha mtoto ampende kwa kumnunulia vizawadi mimi bnakataa huyu mtoto si wa kubembeleza ni kuachana nae tuu asimbembeleze kama kumpenda achague yeye na asimlazimishe amuite baba..... shida ya ndugu yetu ana lazimisha mtoto asiye wake ampende
We mzalishe huyo singo maza,huyo mtoto baada ya kuona una mapenzi na mwanao wa kumzaa ataanza kukuelewaKusema ukweli kuoa ma single mother kuna changamoto yeye anataka umpende mwanaye mwanaye hakupendi mama anajaribu kulazimisha ili asimtie aibu maana alimtetea kuja kukaa na ww lakini mtoto hana mood kabisa. ngumu sana
Imetokea na huwa inatokea mtoto wa mkeo hakupendi. Umeamua kuishi au kuoa mke ambaye hana kazi ana mtoto mmoja wa kike au wa kiume mwenye umri wa miaka 4 sasa mkeo anajaribu kumwambia mtoto kuwa wewe ndiye baba yake au baba wa kambo mtoto hataki na ukijaribu kuwa karibu na yeye hakubali, unamletea juice, pipi, biscuit mara kwa mara kama zawadi hataki, siku moja mkiwa wawili wewe na mkeo mama anamuuliza mbele yako huyu nani anasema hajui
Wenye uzoefu na haya mambo unafanyaje, kwanza mama hajisikii vizuri mtoto kutokuwa karibu na wewe na hataki kukusogelea ukizingatia kuwa mkeo alikwambia kuishi na mimi lazima umkubali mwanaye. Zingatia kwamba mkeo hana tena wazazi kwamba angempeleka mtoto kwa bibi yake.
Tunafanyaje kwa mfano huu.cha
Hakuna shida kuoa mwanamke mwenye mtoto shida kuishi naye kwenu. A woman with one kid is far better than a woman with no single kid but had aborted 70 pregnancies of 50 different men. Akaishi kwa babu na bibi yake mzaa mama au kwa babake mzazi. Thats our culture n customsHivi unaendaje kuoa mwanamke mwenye mtoto tayari?
Aisee yaani I cant register that nonsense in my head!
Chapa bakora kama alivyofanya naibu waziriImetokea na huwa inatokea mtoto wa mkeo hakupendi. Umeamua kuishi au kuoa mke ambaye hana kazi ana mtoto mmoja wa kike au wa kiume mwenye umri wa miaka 4 sasa mkeo anajaribu kumwambia mtoto kuwa wewe ndiye baba yake au baba wa kambo mtoto hataki na ukijaribu kuwa karibu na yeye hakubali, unamletea juice, pipi, biscuit mara kwa mara kama zawadi hataki, siku moja mkiwa wawili wewe na mkeo mama anamuuliza mbele yako huyu nani anasema hajui
Wenye uzoefu na haya mambo unafanyaje, kwanza mama hajisikii vizuri mtoto kutokuwa karibu na wewe na hataki kukusogelea ukizingatia kuwa mkeo alikwambia kuishi na mimi lazima umkubali mwanaye. Zingatia kwamba mkeo hana tena wazazi kwamba angempeleka mtoto kwa bibi yake.
Tunafanyaje kwa mfano huu.