Mtoto wa mkubwa yupi anaendesha bodaboda? CCM acheni hadaa

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Viongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine.

Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda?

Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda?

Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.
 
Kipimo cha utu sio kazi.
Wala sio kazi ya laana

Kipimo cha utu ni kazi na kipimo cha kazi ni pesa ni hela, ina maana kipimo cha utu ni pesa

Vijana wanapata faranga kupitia bodaboda naomba heshima Ofisi
 
Nitajie nchi ambayo raia wake wote ni watoto wa wavigogo. Hakuna nchi ambayo wote wanalingana vipato. Kwa hiyo kuwatukana waendesha bodaboda eti ni KAZI za laana, nikuwavunjia heshima kabisaaa.
 
Viongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine.

Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda?

Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda?

Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.
Magufuli mwenyewe Rais wa the so called Wanyonge mtoto wake ajira yake ya kwanza shirika la Umma.
 
Viongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine.

Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda?

Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda?

Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.
Hoja zengine za ajabu, kwanza tangu lini tukajilinganishe na watoto wa viongozi kwenye ajira? Sasa kwa kipimo hiko cha kuangalia kazi ambazo hadi watoto wa wakubwa waweze kuzifanya ndio tuone kuwa ndio kazi za heshima basi kazi nyingi zitakuwa za laana.
 
Wala sio kazi ya laana

Kipimo cha utu ni kazi na kipimo cha kazi ni pesa ni hela, ina maana kipimo cha utu ni pesa

Vijana wanapata faranga kupitia bodaboda naomba heshima Ofisi
Kwa mentality hiyo ya kipimo Cha kazi ni pesa basi mnaweza hata kuipa promo kazi ya UKAHABA maana hata hiyo inawaingizia pesa wamama.
JEE KWA CCM UKAHABA NAO NI AJIRA MAANA WATU WANAPATA PESA YA KUJIKIMU?
Kweli CCM sio imechoka tuu, Bali CCM nayo ni LAANA
 
Viongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine.

Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda?

Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda?

Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.
Vigogo watoto wao wamewanunulia mabodaboda ruundo watoto wa maskini ndiyo zinawauwa jioni wanakimbiziwa mahela ya kunywa na kuhonga...shwain kabisa!!
 
Hoja zengine za ajabu, kwanza tangu lini tukajilinganishe na watoto wa viongozi kwenye ajira? Sasa kwa kipimo hiko cha kuangalia kazi ambazo hadi watoto wa wakubwa waweze kuzifanya ndio tuone kuwa ndio kazi za heshima basi kazi nyingi zitakuwa za laana.
kinachomaanishwa hapa ni kwamba hao viongoz hawapaswi kuongelea swala la bodaboda kama kaz nzur maana ingewa kaz nzuri watoto wao wasingekuwa BOT,TRA,MASHIRIKA YA UMMA na kwingineko badala yake wangewa bodaboda lakin kwa kuwa ni kaz ya laana ndio maana watoto wao hawafanyi hio kaz.
 
Back
Top Bottom