Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Sio Kuendesha tu...hata kupanda Hawapandi eti wanaogopa Kufa wao ni Vieiti tu..Viongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine.
Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda?
Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda?
Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.