UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Unajua hamueleweki ndio maana nasema mnalazimisha mambo, hebu twende taratibu kwanini hao waendesha bodaboda hawaipendi hiyo kazi? Na je ubaya wa bodaboda ni hizo ajali?Siyo kulazimisha, narudia tena hapa kijiweni hayupo wa kukwambia kuwa anapenda kuwa bodaboda.
Nimesema tafsiri ya laana kwetu hapa inaenda mbali na zaidi ikihusisha maafa na aibu ktk jamii.
Kwa mantiki hii nimekuekeza kuwa siku moja ukaone madhara ya hizi bodaboda namna vijana wanavyokufa na kuwa vilema kwa siku, utakuja useme bora hata malaya maana baadae anaweza kubadilika na kuwa mcha Mungu, lakini je akishakufa bodaboda?