Mtoto wa mkubwa yupi anaendesha bodaboda? CCM acheni hadaa

Mtoto wa mkubwa yupi anaendesha bodaboda? CCM acheni hadaa

Ndio maana nasema hamueleweki, wengine mnasema bodaboda si kazi ni kitu ambacho watu hufanya kujishikiza tu baada ya kukosa kazi ndio maana hakuna mtoto wa kiongozi ambaye ni bodaboda.

wengine mnaona bodaboda ni kazi ila isiyo na heshima na yenye mapato kiduchu.

Wewe unasema bodaboda ni kazi ila ina laana kutokana na madhara yake kwenye jamii na kuifananisha na ujambazi na umalaya.
Yote yako sahihi na Ndiyo sifa za kitu kilicho na laana maana kila ubaya uko kwa kitu hicho kulingana na tafsiri ya mtu ilu mradi tu sifa hiyo ni mbaya.

Kumbuka nimekwambia tafsiri ya laana inakwenda mbali Sana kumbe hiyo ndiyo tafsiri.
 
Kama kwa kila mtu kuchagua tafsiri yake basi hata mimi naweza kusema siasa ni laana.
 
Back
Top Bottom