Mtoto wa mkubwa yupi anaendesha bodaboda? CCM acheni hadaa

Mtoto wa mkubwa yupi anaendesha bodaboda? CCM acheni hadaa

Kwa mentality hiyo ya kipimo Cha kazi ni pesa basi mnaweza hata kuipa promo kazi ya UKAHABA maana hata hiyo inawaingizia pesa wamama.
JEE KWA CCM UKAHABA NAO NI AJIRA MAANA WATU WANAPATA PESA YA KUJIKIMU?
Kweli CCM sio imechoka tuu, Bali CCM nayo ni LAANA

Ukahaba unatweza utu. Kazi ya Bodaboda inatweza utu gani?
 
you are out of context na kwa kuwa ni mjinga nitakujibu kulingana na ujinga wako kama ifuatavyo
1. kitila mkumbo jana aliandika andiko refu lisilo na maana yoyote ndio maana nimetumia watoto wake kama case study.
kwenye hoja hii kwanini watoto wa kitila mkumbo na docta fake madelu hawaendeshi bodaboda kama hio kaz ni nzuri au mnafikir watanzania ni wapumbavu.

2. Mbili unasema kwanini watoto wake sisemi kuwa waendesha taxi au madereva wa viongoz, swali lako hili ni la kijinga kama mlivyo huko ccm ndio maana nikakwambia you are out of context maana hoja iliyopo mitandaon ni kwamba bodaboda ni kaz ya laana sasa kwanin unataka nizungumzie taxi na madereva wa viongoz.
Mwisho na ni muhim ccm na vibaraka wake taifa hili mmelifanya kama la watu wajinga wakati wajinga ni viongoz walioshindwa kucreate ajira rasmi ili vijana waajiriwe na sio kuingia kwenye bodaboda baada ya miaka 15 watakuwa hoi kabisa.
Huna ulichojibu, mnasema hao viongozi watoto zao hawafanyi kazi ya bodaboda mnafanya kuwa ndio hoja yenu ya kuhalalisha kuita bodaboda ni laana. Ndio nawaambia ni hoja ya kijinga kwa sababu huwezi kuita ajira fulani ni laana kisa et hakuna mtoto wa kiongozi mwenye kuifanya na ndio maana nikasema si sahihi kwa sababu hao watoto wa viongozi hatuwaoni kwenye ajira nyingi tu ambazo wengine wanazifanya, nikatoa mfano wa taxi usafiri ambao ulikuwepo kabla ujio huo wa vijana wa bodaboda na bajaji ila hakuna watoto wa viongozi wenyewe kuendesha taxi, sasa tuseme kuendesha taxi pia ni laana?
 
Una hoja dhaifu sana kijana[emoji706][emoji706]
Hoja ya maana ni kutukana kipato Cha watu wanaohangaika ili wakeee familia zao, mtu katoka kulelewa huko Kwa mabeberu analishwa Bure kaja amenona boda boda wawatu wamesheheni kumpokea matokeo yaka waakaambilia kutukanwa eti WAMELAANIWA. Mungu ata jibu matusii haya
 
Udereva, uigizaji na uimbaji.
Uimbaji na uigizaji Kolimba na mwanae kotide, Vick nk, je udereva wa nini maana hata boda ni udereva ola kama ni kuendesha ma v 8 wapo wengi na viongozi wenyewe ni madereva.
 
Viongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine.

Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda?

Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda?

Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.
Mtoto mdogo na aliefeli shule wa kiongozi wa CCM ni DC.

Fuatilia kama kuna sliyesoma shule akafaulu
 
Mimi ndio nataka wewe ueleze kwa vp ajali za bodaboda iwe sababu za madereva wa bodaboda kutoipenda hiyo kazi ya bodaboda? Maana hizo ajali wana sababisha wenyewe kwa aina ya uendeshaji wao.
Kwa nini ajali hizi nyingi ziwe kwao bodaboda tu na siyo aina nyingine za udereva? Ok ngoja nilipe sababu maana wewe unakwepa kujichoma kisu labda ni sehemu ya tatizo,

Bodaboda walio wengi hawana mafunzo ya kuendesha bodaboda na hata wengi hawana leseni.
 
Viongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine.

Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda?

Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda?

Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.

Very true
 
Kuna mtoto amefaulu vizuri sana, babake ni boda, mamake ni mamalishe, kesho na keshokutwa mnaeza pata kiongozi mzuri tu aliesomeshwa kwa hela za bodaboda na mamalishe, chungeni ndimi zenu, kazi yeyote ya halali si laana, labda kwa dini za fremason
 
Kwa mentality hiyo ya kipimo Cha kazi ni pesa basi mnaweza hata kuipa promo kazi ya UKAHABA maana hata hiyo inawaingizia pesa wamama.
JEE KWA CCM UKAHABA NAO NI AJIRA MAANA WATU WANAPATA PESA YA KUJIKIMU?
Kweli CCM sio imechoka tuu, Bali CCM nayo ni LAANA
Kuna kazi za halali na kazi zisizo halali, boda ni halali, ukahaba, wizi, betting, utapeli na hata ufisadi si kazi halali
 
Kuna mtoto amefaulu vizuri sana, babake ni boda, mamake ni mamalishe, kesho na keshokutwa mnaeza pata kiongozi mzuri tu aliesomeshwa kwa hela za bodaboda na mamalishe, chungeni ndimi zenu, kazi yeyote ya halali si laana, labda kwa dini za fremason
Kiongozi wa hivyo hatakuwa na exposure, hivyo atajiendeshea nchi kama fulani mwisho wa siku tutapata tabu tu na mateso.

Haitakiwi kamwe mtu wa hivyo kutawala taifa.
 
Viongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine.

Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda?

Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda?

Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.
Yule jamaa yenu akili Hana ata moja anawatia aibu na kuwapa tabu yakusafisha Hali ya heea akisharopoka ..watu wote hatuwezi kua watoto wa wakubwa au tuna viwanda na biashara kubwa that's nature..lqzima awepo Hadi msafisha mitaro .maisha ndo yako hivo
 
Viongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine.

Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda?

Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda?

Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.
Namlaum Sana vikali caliyeruhusu bodaboda
 
Ni kazi mbaya kwakuwa haifanywi na wewe au ndugu yako
Lakini kikubwa kuheshimu kazi ya mtu

Hatuwezi kuwa wote walimu au wote madr

Bodaboda ni kazi kama kazi zingine
 
Viongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine.

Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda?

Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda?

Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.
Mimi kwa hili natofautiana na Lema aisee.
 
Nina wasiwasi na akili za wana - CDM yaani mnataka kazi na maisha ya mtoto wa mkubwa yafanane na haya yetu?

Acheni utani basi
 
huko thailand hadi watoto wa viongoz wanaendesha tuambie hapa tanzania ni mtoto wa waziri nan anaendesha bodaboda usipotaja wewe pia ni mjinga pamoja na andiko lako.
Acha upimbi kwani mtoto wa kiongozi hadi afanye kazi husika ndio ionekane ni bora ?ndio maana narudia tena ,Chadema wamefanikiwa saana kuandaa vijana wasioweza kufikiri na wewe ni mmoja wao .Dunia nzima haswa nchi zinazoendelea usafiri wa boda boda upo ,nyie mnalishwa tongo pori na huyu mpuuzi aliekimbia umande na mnashamgalia INASIKITISHA
 
Back
Top Bottom