- Thread starter
- #81
Hata bodaboda mkuuKazi ya laana ni kujiuza na uwizi tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata bodaboda mkuuKazi ya laana ni kujiuza na uwizi tu!
kwa hio mmetengeneza bomu la bodaboda kwa watoto wa watu huku watoto wa kitila mkumbo na madelu wakitaftiwa kaz BOT na TRA, CCM ni mandezi kweli kwa taarifa yenu tumewashtukia bodaboda wote nchin kataen ccm maana haina nia njema na nyinyi.Mtotoo wa kigogo atafanyaje hiyo kaziii?? Wale huwenda wanamajukumu mengine , Kwa mantiki hiyo hatutafanana kwenye vyanzo vya mapatoo, Kila mtu Kuna namna MWENYEZI MUNGU atamjalia namna gani apate mkate wake wa Kila sikuuu, Kwa taaarifa yako wapo watu ni matajiri WAKUBWA lakini wameanza chini kabisaa, kwahiyo kuwatukana watu wanaohangaika ni namna gani walishe familia zao, na kusomesha eti WAMELAANIWA ni utovu wa NIDHAM na kumdhalau MWENYEZI MUNGU mtoa riziki. Hata mfagia soko usizarau KAZI yakeee. Kama unaona boda boda ni laanaa awafungulie office Sasa. Hovyo kabisa.
Kwani Watoto wa viongozi kama Wana option nyingine Kuna ulazima wa wao Kuendesha bodaboda?huko thailand hadi watoto wa viongoz wanaendesha tuambie hapa tanzania ni mtoto wa waziri nan anaendesha bodaboda usipotaja wewe pia ni mjinga pamoja na andiko lako.
Ni mtu mvumilivu saana asiyeweza kukuambia ukweli kwamba wewe ni mjingayou are out of context na kwa kuwa ni mjinga nitakujibu kulingana na ujinga wako kama ifuatavyo
1. kitila mkumbo jana aliandika andiko refu lisilo na maana yoyote ndio maana nimetumia watoto wake kama case study.
kwenye hoja hii kwanini watoto wa kitila mkumbo na docta fake madelu hawaendeshi bodaboda kama hio kaz ni nzuri au mnafikir watanzania ni wapumbavu.
2. Mbili unasema kwanini watoto wake sisemi kuwa waendesha taxi au madereva wa viongoz, swali lako hili ni la kijinga kama mlivyo huko ccm ndio maana nikakwambia you are out of context maana hoja iliyopo mitandaon ni kwamba bodaboda ni kaz ya laana sasa kwanin unataka nizungumzie taxi na madereva wa viongoz.
Mwisho na ni muhim ccm na vibaraka wake taifa hili mmelifanya kama la watu wajinga wakati wajinga ni viongoz walioshindwa kucreate ajira rasmi ili vijana waajiriwe na sio kuingia kwenye bodaboda baada ya miaka 15 watakuwa hoi kabisa.
Laana hiyo inatokana na nini Mkuu!Hata bodaboda mkuu
Kwa hiyo wakiendesha watoto wa viongozi ndio inakuwa ajira inayokubalika?Watoto wa wenye uwezo bila kujali vyama wanakuwa na fursa zaidi kuliko watoto wa raia wa kawaida.Hali ipo duniani kote.Jiulize watoto wa Lema sasa hivi wako wapi?Wanasoma Unga limited Primary School?Kiongozi unatakiwa uongoze kwa vitendo na mifano bila hivyo ni a pot calling a kettle black.huko thailand hadi watoto wa viongoz wanaendesha tuambie hapa tanzania ni mtoto wa waziri nan anaendesha bodaboda usipotaja wewe pia ni mjinga pamoja na andiko lako.
Ulivyouliza hilo suali umenikumbusha filam ya Michael Moore 'Fahrenheit 9/11', kuna sehemu alisema wanaokwenda vitani au wazalendo wa kimarekani ni wale watoto wa masikini tu kwa vile wanaahidiwa kusomeshwa bure wakijiunga na jeshi. Hakuna mtoto wa tajiri aliyejiunga kwenda kupigana vitani Iraq au Afghanistan.Viongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine.
Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda?
Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda?
Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.
Juuuu ni ukosefu wa ajili timamu, kwahiyo unaishi Kwa kujiringanisha na wengine kwenye vyanzo vya mapatoo?? Hujui muendesha bodabodaa kesho anaweza kuwatajiri kuzidii hao waliyokuwa wamelelewa kanada?? Maishaa ya utafutaji hatutafanana kikubwa mkono uingie kinywaniiii? Au mnataka waache KAZI ya bodabodaa nao wakawe wezi wa magari apo arushaa?? Watu natoka mbaliiii, Leo amewadharau na kuwaita WAMELAANIWA lakini akumbuke wao na laana zao wameenda kumpokea na akashangiria UWEPO wao hao wenye laana zao. Hakuna nchi Dunia nzima wote watakuwa watoto wa mawaziriiii. Usidharau mtu yeyotee hujui keshootuambie mtoto wa waziri nani au rais yupi au katibu mkuu yupi anaenfeaha bodaboda kama hutaonyesha wewe ni moja ya wanufaika wa mfumo wa ccm uliofel kutengeneza ajira ndio maana watoto wetu wamegeuka bodaboda.
Kwani duniani vyanzo vya mapatoo vinalinganaaa?? Kila Mumoja Kuna namna atafanikiwaaa, usiiishi Kwa kujiringanisha na wengine kikubwa wewe pambana na kile unachoona kitakutoa maishaniiii. Leo hiii yukijana Alie kua kanada watoto wake wako apa kwenye shule ipiii. Hata mchimba mawe na usidharau anaumuhimu wakeee. Heshimu KAZI yamtuui inayompa kipato halaliii. Kuwatukana wenzio kwamba wamelaaniwaa, hili bila shaka usikute jamaa alivuta Ile sigara karii, maaana kule kanada walishaihalalishaaaa. Duuuuuuhkwa hio mmetengeneza bomu la bodaboda kwa watoto wa watu huku watoto wa kitila mkumbo na madelu wakitaftiwa kaz BOT na TRA, CCM ni mandezi kweli kwa taarifa yenu tumewashtukia bodaboda wote nchin kataen ccm maana haina nia njema na nyinyi.
Ww mataga tuliza kalio hiloKwahiyo wote ni watoto wa hao?? Achenii siasa za matusii. Mtu alikaa ukoo, Leo hiii Arusha inapendeza barabara nzuriii, halafu mtu unatukana Ajira za watu wanaolea familia zao eti wanafanya KAZI za kulaaniwaa??
Acha kutetea ujinga kazi halali ya mtu huwezi kuita laana, wakati imeandikwa utakula kwa jashoViongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine.
Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda?
Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda?
Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.
Lema kaongea jambo la ovyo sana, boda boda ni muhimu pia kwenye jamiiWw mataga tuliza kalio hilo
Nchi ina watu wengi hii, lazima fursa ziwe nyingi kila wakati, huwezi kuita kazi ya mtu ni laana wakati havunji sheria wala hajafanya jambo baya kwenye kazi yakekinachomaanishwa hapa ni kwamba hao viongoz hawapaswi kuongelea swala la bodaboda kama kaz nzur maana ingewa kaz nzuri watoto wao wasingekuwa BOT,TRA,MASHIRIKA YA UMMA na kwingineko badala yake wangewa bodaboda lakin kwa kuwa ni kaz ya laana ndio maana watoto wao hawafanyi hio kaz.
Kwani ni uongo?Mkuu kusema kwamba hakuna mwendesha bodaboda mwenye kupenda hiyo kazi ya bodaboda hilo nakataa, tuongee uhalisia msilazimishe kulitetea hilo neno lenu "laana". Maana naona mnataka kufanya kazi ya bodaboda ionekane ni kama umalaya vile.
Una hoja dhaifu sana kijana[emoji706][emoji706]MWENYEZI MUNGU anajua Kila Mumoja atapataje rizizkii, kwahyo mnataka wote wajae maoficini? Taifa gani liko ivooo, mwambieni KIJANA wenu kakosea saana kudhani KAZI za bodabodaa eti wamelaaniwaa, kweliii? Kwa hiyo anamaanisha KAZI yenye baraka nikuwa mbungee?? Yeye anakubalije kupiwa kura na kupokelewa na watu wanaofanya KAZI za laaanaa? Mbona hakuwafukuzaaa
Mimi ndio nataka wewe ueleze kwa vp ajali za bodaboda iwe sababu za madereva wa bodaboda kutoipenda hiyo kazi ya bodaboda? Maana hizo ajali wana sababisha wenyewe kwa aina ya uendeshaji wao.Na nini kimesababisha uendeshaji wao huo mbovu tupe jibu hapa.
Kwa taarifa ni kwamba zaidi ya 47% ya ajali zote Kati ni bodaboda
Wanasema ni kazi ya baraka ila watoto wao hawaifanyiViongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine.
Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda?
Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda?
Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.
Ndio ni uongo, zipo kazi ambazo unaweza kusema hakuna anayezipenda mtu hufanyia shida tu kama zile za viwandani zenye kuhatarisha afya ya mtu kazi ambazo hutakiwi kufanya muda mrefu au zile kazi zenye kudharirisha ila bodaboda si moja wapo.Kwani ni uongo?
Tangu lini tukajilinganisha nao? Unataka watoto zao waendeshe bodaboda wakati hata daladala tu hawapandi na hamuhoji.Wanasema ni kazi ya baraka ila watoto wao hawaifanyi