UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Wengine hata watoto zao hawapo nchini kabisa, isije ikawa Tanzania imelaaniwa pia.Hata shule za kajamba nani hakuna watoto wa mbowe,lissu au lema kule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine hata watoto zao hawapo nchini kabisa, isije ikawa Tanzania imelaaniwa pia.Hata shule za kajamba nani hakuna watoto wa mbowe,lissu au lema kule
Propaganda hizi za WestViongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine.
Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda?
Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda?
Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.
Walikuwa. Ni zamani siyo sasa.Wapo watoto wa wakubwa ambao ni walimu,
Nyerere alikuwa Mwalimu na alitaka kuitwa hivyo.
Wake wa JK na JPM walikuwa walimu.
Jiwe gizaniViongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine.
Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda?
Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda?
Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.
WATOTO WAO wapo TRA BANDARI BANK KUU watoto wa MASIKINI ni MA CHINGA BODABODA BAJAJI MAMA NTILIE WATEMBEZA MATUNDA NA MBOGA ZA MAJANIViongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine.
Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda?
Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda?
Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.
Watoto wa masikini ndio wanapanda daladala huwezi kumuona Riz1 kapanda daladala,analalamika mchele kupanda bei, bei za mabando kupanda, sijui gharama kubwa za matibabu yani huwezi kuona kitu kama hicho.WATOTO WAO wapo TRA BANDARI BANK KUU watoto wa MASIKINI ni MA CHINGA BODABODA BAJAJI MAMA NTILIE WATEMBEZA MATUNDA NA MBOGA ZA MAJANI
Hapa suala si wote kulingana bali ni je kazi hiyo inakubalika kwa jamii na matabaka yote kea kupima madhara ktk jamii husika?Nitajie nchi ambayo raia wake wote ni watoto wa wavigogo. Hakuna nchi ambayo wote wanalingana vipato. Kwa hiyo kuwatukana waendesha bodaboda eti ni KAZI za laana, nikuwavunjia heshima kabisaaa.
Acha uongo wapo wengi na ziti usilolijua ni kuwa hadi viongozi wengi ni walimu, au wewe unafikiri ualimu ni wa shule ya msingi hata mhadhiri ni mwalimu.Hakuna mtoto wa mkubwa ambae ni mwalimu. Je ualimu ni laana pia?
Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
Mtoto wa Pinda, wa Kikwete, Wa Lipumba, Wa Mbowe, Wa Makamba, Wa Afande Sirro, Wa Chongoro KM wa CCM na Wa Afande Camilius Wambura hawa wanaendesha Boda boda. Anayebisha aje na ushahidi..nimekaa paleee Lumumba na shati langu la kijana lenye nembo ya Jembe na NyundoViongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine.
Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda?
Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda?
Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.
Ndiyo ni kweli yawezekana wasiwepo maana ni kweli nako kwaweza kuwa kuna laana.Hata shule za kajamba nani hakuna watoto wa mbowe,lissu au lema kule
Mkuu kusema kwamba hakuna mwendesha bodaboda mwenye kupenda hiyo kazi ya bodaboda hilo nakataa, tuongee uhalisia msilazimishe kulitetea hilo neno lenu "laana". Maana naona mnataka kufanya kazi ya bodaboda ionekane ni kama umalaya vile.Acha uongo wapo wengi na ziti usilolijua ni kuwa hadi viongozi wengi ni walimu, au wewe unafikiri ualimu ni wa shule ya msingi hata mhadhiri ni mwalimu.
Tukubaliane na ukweli kuwa kuwa bodaboda kwa mkhitadha wa Lema ni laana maana hata bodaboda mmoja ukimwuliza je unatamani au ulipenda kuwa bodaboda atakwambia hapana.
Ila tu kwa kuwa bodaboda wamekuwa kichaka cha ccm na serikali kujificha ktk kujibu swali la ajira kwa vijana Ndiyo maana wanatafuta huruma ya bodaboda kwa kuwahadaa watoto wa walalahoi.
Hayo mabasi ya mikoani tumeshuhudia ajali ngapi? Mbona hatusemi ni laana? Wewe ushawahi kusafiri kwa basi na kumuona mtoto wa kiongozi kwenye basi?Bodaboda ni laana vijana wengi wamekuwa vilema na wengine tumewazika kwa kazi hiyo. Hospitali zilifika mahala wakazidiwa na majeruhi kutokana na ajari nyingi za madereva na wateja wao. Tuombe mungu atuepushe na hii laana
MWENYEZI MUNGU anajua Kila Mumoja atapataje rizizkii, kwahyo mnataka wote wajae maoficini? Taifa gani liko ivooo, mwambieni KIJANA wenu kakosea saana kudhani KAZI za bodabodaa eti wamelaaniwaa, kweliii? Kwa hiyo anamaanisha KAZI yenye baraka nikuwa mbungee?? Yeye anakubalije kupiwa kura na kupokelewa na watu wanaofanya KAZI za laaanaa? Mbona hakuwafukuzaaaHapa suala si wote kulingana bali ni je kazi hiyo inakubalika kwa jamii na matabaka yote kea kupima madhara ktk jamii husika?
Hili suala la wanasiasa kujificha ktk kichaka cha kipato na huduma za walalahoi limekuwa likiwapumbaza watu na ccm kuona kuwa Ndiyo karata yao.
Hoja ijibiwe je kuna mtoto wa kiongozi yeyote wa serikali anayeendesha bodaboda? Kama yupo atajwe bodaboda tumjue na kama hayupo tujiulize sababu ni nini?
Hii hoja ni sawa na viongozi wa ccm wanavyotuhadaa kila siku wakituaminisha kuwa elimu yetu iko vizuri na shule zetu za umma ziko Safi Sana,
Swali tena je kuna mtoto wa kiongozi anayesoma shule zetu za umma? Na kama ni hapana kwa nini?
Ushabiki tuache nenda pale muhimbili na mwananyamala uone namna tunavyokuwa vilema na kufa kila siku lakini pia madktari wakilaani kazi hii.
Ccm tuache kutafuta huruma ya bodaboda sisi wenyewe hatupendi kuwa bodaboda ni kwa vile tu fursa nyingine hatuwezeshwi kuziona labda tungefanya kazi mbadala, kwani kabla ya bodaboda wazazi wetu mbona waliishi maisha Safi.
Hapa unakwepa hoja, siyo lazima wote wawe ofisini au wabunge la khasha!MWENYEZI MUNGU anajua Kila Mumoja atapataje rizizkii, kwahyo mnataka wote wajae maoficini? Taifa gani liko ivooo, mwambieni KIJANA wenu kakosea saana kudhani KAZI za bodabodaa eti wamelaaniwaa, kweliii? Kwa hiyo anamaanisha KAZI yenye baraka nikuwa mbungee?? Yeye anakubalije kupiwa kura na kupokelewa na watu wanaofanya KAZI za laaanaa? Mbona hakuwafukuzaaa
Hapa huu nao ni ubishi watoto wa viongozi wapo wanaosafiri na mabasi daraja la kwaza.Hayo mabasi ya mikoani tumeshuhudia ajali ngapi? Mbona hatusemi ni laana? Wewe ushawahi kusafiri kwa basi na kumuona mtoto wa kiongozi kwenye basi?
Hamueleweki bodaboda si kazi,ni kazi ila si ya heshima, au ni kazi iliyolaaniwa? Naona mnaingilia huku mnatokea kule.
Siyo kulazimisha, narudia tena hapa kijiweni hayupo wa kukwambia kuwa anapenda kuwa bodaboda.Mkuu kusema kwamba hakuna mwendesha bodaboda mwenye kupenda hiyo kazi ya bodaboda hilo nakataa, tuongee uhalisia msilazimishe kulitetea hilo neno lenu "laana". Maana naona mnataka kufanya kazi ya bodaboda ionekane ni kama umalaya vile.