BODABODA NI LAANA, TENA LAANA KUBWAViongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine.
Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda?
Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda?
Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.
Wala sio kazi ya laanaKuna mdau amesema bodaboda ingekuwa ajira CCM ingeiweka kwenye ilani yake.
Uongo mbaya bodaboda ni kazi ya laana.
Pia kama bodaboda isingekuwa laana serikali ya ccm ingeiwekea TozoKuna mdau amesema bodaboda ingekuwa ajira CCM ingeiweka kwenye ilani yake.
Uongo mbaya bodaboda ni kazi ya laana.
Usiangalie hela tu. Kama unaangalia hela tu utaishia kusema hata wizi ni kazi, hata kujiuza ni kazi, n.kWala sio kazi ya laana
Kipimo cha utu ni kazi na kipimo cha kazi ni pesa ni hela, ina maana kipimo cha utu ni pesa
Vijana wanapata faranga kupitia bodaboda naomba heshima Ofisi
Wala sio kazi ya laana
Kipimo cha utu ni kazi na kipimo cha kazi ni pesa ni hela, ina maana kipimo cha utu ni pesa
Vijana wanapata faranga kupitia bodaboda naomba heshima Ofisi
Nitajie nchi ambayo raia wake wote ni watoto wa wavigogo. Hakuna nchi ambayo wote wanalingana vipato. Kwa hiyo kuwatukana waendesha bodaboda eti ni KAZI za laana, nikuwavunjia heshima kabisaaa.Viongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine.
Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda?
Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda?
Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.
Magufuli mwenyewe Rais wa the so called Wanyonge mtoto wake ajira yake ya kwanza shirika la Umma.Viongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine.
Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda?
Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda?
Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.
Hoja zengine za ajabu, kwanza tangu lini tukajilinganishe na watoto wa viongozi kwenye ajira? Sasa kwa kipimo hiko cha kuangalia kazi ambazo hadi watoto wa wakubwa waweze kuzifanya ndio tuone kuwa ndio kazi za heshima basi kazi nyingi zitakuwa za laana.Viongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine.
Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda?
Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda?
Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.
Hamueleweki bodaboda si kazi,ni kazi ila si ya heshima, au ni kazi iliyolaaniwa?Kuna mdau amesema bodaboda ingekuwa ajira CCM ingeiweka kwenye ilani yake.
Uongo mbaya bodaboda ni kazi ya laana.
Kwa mentality hiyo ya kipimo Cha kazi ni pesa basi mnaweza hata kuipa promo kazi ya UKAHABA maana hata hiyo inawaingizia pesa wamama.Wala sio kazi ya laana
Kipimo cha utu ni kazi na kipimo cha kazi ni pesa ni hela, ina maana kipimo cha utu ni pesa
Vijana wanapata faranga kupitia bodaboda naomba heshima Ofisi
Vigogo watoto wao wamewanunulia mabodaboda ruundo watoto wa maskini ndiyo zinawauwa jioni wanakimbiziwa mahela ya kunywa na kuhonga...shwain kabisa!!Viongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine.
Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda?
Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda?
Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.
Huyu kazeekea USA karudi huku kuzikwa tu.Le Mutuz😂
kwanin watoto wa kitila mkumbo na madelu hawaendeshi bodaboda badala yake wamepelekwa BOT.Nitajie nchi ambayo raia wake wote ni watoto wa wavigogo. Hakuna nchi ambayo wote wanalingana vipato. Kwa hiyo kuwatukana waendesha bodaboda eti ni KAZI za laana, nikuwavunjia heshima kabisaaa.
kinachomaanishwa hapa ni kwamba hao viongoz hawapaswi kuongelea swala la bodaboda kama kaz nzur maana ingewa kaz nzuri watoto wao wasingekuwa BOT,TRA,MASHIRIKA YA UMMA na kwingineko badala yake wangewa bodaboda lakin kwa kuwa ni kaz ya laana ndio maana watoto wao hawafanyi hio kaz.Hoja zengine za ajabu, kwanza tangu lini tukajilinganishe na watoto wa viongozi kwenye ajira? Sasa kwa kipimo hiko cha kuangalia kazi ambazo hadi watoto wa wakubwa waweze kuzifanya ndio tuone kuwa ndio kazi za heshima basi kazi nyingi zitakuwa za laana.