Mtoto wa Mo Dewji[AbbasMoDewji] umejifunza nini kuhusu huu ujumbe wa Baba yake ?

Sisi tunajidanganya kuwa urithi wa mtoto ni elimu peke yake. Kuna wapumbavu wakaenda mbali kwa kusema "Tajiri na mali zake, maskini na wanae" utadhani matajiri hawana watoto.
Sio sisi, sema wewe tena zaidi utamrithisha mwanao uchawa. Ushawahi ona wapi mwanaume anajitambulisha kwa jina la Mama tena sio mama yake bali mama yake Abdul.

Jitahidi usimrithishe mwanao hii tabia.
 
Lengo hapo ni kumtengeneza dogo aingie kwenye record ya young billionaire mapema.

Huyo dogo nimemuona akiambatana na dingi yake zaidi ya mara tatu kwenye safari zake za nje , after all anaachiwa kwa sura ya kiti tu na siyo majukumu .

Muhimu hata kwetu tunapaswa kuwa na malengo yakifamily.
 
Huyu nae ni fala kama mafala wengine

Kama angekuwa na kitu cha kurithisha hakuwa na sababu ya kukiweka public

Hilo broiler lake kwa macho tu linaonekana empty set

Kama anataka kulipa promo kwenye upuuzi wa mipira hapo atakuwa sahihi
Wewe ni mvulana bado pasi na shaka pasi ya moto waweza itambua kwa macho?
 
Wenzetu wanarithisha watoto wao Elimu/Exposure pamoja na biashara/utajiri

Sisi tunarithisha watoto wetu umasikini/ufukara pamoja na roho ya umasikini🙌
Na huu ndio ukweli kabisa...na wengine waliokufa ama kujiua wamekufa na uchungu mkubwa ..kama huwez kumuandalia mtoto wako yajayo unamzaa wa kazi Gani ..unamwaga shahawa ndani za nini...Bora umwage nje tu ...halafu tuna kuja kuwashangaa waarabu wahindi na wazungu kwanini ni matajiri ..
 
Huyu nae ni fala kama mafala wengine

Kama angekuwa na kitu cha kurithisha hakuwa na sababu ya kukiweka public

Hilo broiler lake kwa macho tu linaonekana empty set

Kama anataka kulipa promo kwenye upuuzi wa mipira hapo atakuwa sahihi
Aisee itakuchukua miaka zaidi ya 50 kumaliza umaskin na ufukara ulionao. .na siku unashtuka utakua kaburini .KWAHERI.
 
Huyu nae ni fala kama mafala wengine

Kama angekuwa na kitu cha kurithisha hakuwa na sababu ya kukiweka public

Hilo broiler lake kwa macho tu linaonekana empty set

Kama anataka kulipa promo kwenye upuuzi wa mipira hapo atakuwa sahihi
Dalili mojawapo ya ufukara ni chuki.

Punguza chuki.
 
Sisi tunajidanganya kuwa urithi wa mtoto ni elimu peke yake. Kuna wapumbavu wakaenda mbali kwa kusema "Tajiri na mali zake, maskini na wanae" utadhani matajiri hawana watoto.
Hili suala nimelizungumzia kwenye ule uzi wangu, mafukara yakaja kunipopoa.

Hata hapa wamejaa wana comment kwa hasira na chuki.
 
Sio sisi, sema wewe tena zaidi utamrithisha mwanao uchawa. Ushawahi ona wapi mwanaume anajitambulisha kwa jina la Mama tena sio mama yake bali mama yake Abdul.

Jitahidi usimrithishe mwanao hii tabia.
Sawa maskini mwenye hasira kali.
 
Matajiri wanazaa kuendeleza generational wealth.

Mafukara yanazaliana kuendeleza generational poverty.
Na hapa ndipo ilipo tofauti yetu

Sisi tunahisi fahari kuwa na Watoto wengi

Of which sio jambo baya kama utakuwa umewaandalia mazingira sahihi ya kuishi kuanzia malezi/Shule/biashara/assets n.k
 
Sahihi Mkuu

Haileti maana kuzaa/kuzalisha watoto watakaokuja kuteseka ili hali huna uwezo wa kuwatunza

Wenzetu Wasukuma, wanazaa watoto wengi almost 15+ lakini Kila mtoto anapewa ng'ombe kwaajili ya kuanzia maisha

Sisi huku wengine, unapewa jina tu la Ukoo🙌
 
Legacy continues.. inabidi kuwe na kozi za jinsi ya kuendesha family business halafu hawa wawe walimu.
 
Familia ya Mengi ina mgogoro mkubwa mahakamani mpaka sasa kama nipo sahihi baada tu ya kukata moto mzee
Migogoro mingi ya sisi ngozi nyeusi inatokana na kuwa na kuwa na mke zaidi ya mmoja, mali zinagombaniwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…