ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 150
- 173
50 cent katika safari yake ya kutaka kutoka kimaisha, mwaka 2013 alipigwa 9 gunshots at close range ila kasurvive
Yes, ni la muda mrefu...nadhani mleta mada kachelewa kulifahamu.Wikipedia inasema hili tukio lilitokea May 2000, sio 2013
Huna akili 50cent kaanza kuhangaika kutoka 2013Aache kumpa hizo hela aone kama hatafanya kazi,
Dogo hawezi kufanya kazi coz amekuta kamserereko na kila mwezi anapewa hela,
50 cent katika safari yake ya kutaka kutoka kimaisha, mwaka 2013 alipigwa 9 gunshots at close range ila kasurvive,leo hii dogo anafikiri maisha ni kitu rahisi tu.
Yes ni kweli,alikua akirecord album yake ya Power of the dollar for Columbia Records,Wikipedia inasema hili tukio lilitokea May 2000, sio 2013
Sema kweli 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Huna akili 50cent kaanza kuhangaika kutoka 2013
Hilo toto jinga lonaendeshwa na Mama kumkomoa "FILI SENHE".MSANII 50 CENT
"Mwanangu, Marquise Jackson ana umri wa miaka 25 na bado anaomba msaada wa mtoto. Bado nampa $6800 kila mwezi lakini anasema hazitoshi." 50 Cent
"Mafanikio yalinigharimu uhusiano wangu na mwanangu wa kwanza, Marquise. Lakini hana akili, akiwa na umri wa miaka 25, haoni aibu kuomba msaada. Ninampa takribani $81k tu kwa mwaka kwa sababu hataki kufanya kazi.
"Marquise anahisi mtoto wa 50 Cent, hatakiwi kufanya kazi. Nilitaka nimpe kazi ambayo itakuwa inampa angalau $1-milioni kwa mwezi lakini alikataa."-- 50 Cent..
Ukwaju wa kitambo
0767 542 202
Aache kumpa hizo hela aone kama hatafanya kazi,
Dogo hawezi kufanya kazi coz amekuta kamserereko na kila mwezi anapewa hela,
50 cent katika safari yake ya kutaka kutoka kimaisha, mwaka 2000 alipigwa 9 gunshots at close range ila kasurvive,leo hii dogo anafikiri maisha ni kitu rahisi tu.
Hii story ya muda sana. Kwa sasa chalii hapewi helaWikipedia inasema hili tukio lilitokea May 2000, sio 2013
Samaki ameshakauka, ukilazimisha kumkunja tu anavunjika.MSANII 50 CENT