Mtoto Wa Muammar Gadafi Ameripotiwa Kuuawa Nchini Libya

Screenshot_20260204-010752.jpg

Rest in peace colonel muhamar Gaddafi ( Assassinated in 2011)

Screenshot_20260204-015940.jpg

🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
 
Mmarekani kwenye maslahi yake, yuko radhi apaze kelele, mbwa amuite paka.. na kwa kuwa anajua sauti yake ni sauti kuu, atakuita paka na dunia nzima itakubali we ni paka, watakaobisha ni wachache tena vifuani mwao, hawana jeuri ya kukohoa kusema hapana, huyu ni mbwa sio paka
 
Sana ana angalia maslahi yake tuu

Then ANAONDOKA zake akiwaacha mkiuana .
 
Back
Top Bottom