Mtoto Wa Muammar Gadafi Ameripotiwa Kuuawa Nchini Libya

Mtoto Wa Muammar Gadafi Ameripotiwa Kuuawa Nchini Libya

Sana aisee,hicho chama kingefutwa tu,kina species za ajabu,zimejaa fitna,uwongo,chuki na kila baya aisee
Baada ya list ya waliouawa MO 29...., kwaajili ya ushahidi ICC,

Kuna list inaandaliwa ya Nyie Chawa...itaanikwa nchi nzima ili sisi wansnchi tuwasalimie kwa nyakati tunazojua sisi.....Watch out ...punguza kuongea..kaa kimya itakusaidia..TZ imeshabadilika

Nimekupa ushauri, ukitaka achaaaa
 
Saif al-Islam Gaddafi, mtoto wa aliyekuwa kiongozi wa Libya Kanali Muammar Gaddafi, ameripotiwa kupigwa risasi na kufariki dunia

Saif mwenye umri wa miaka 53, ambaye kwa muda mrefu alionekana kama mrithi wa kisiasa wa baba yake, kimethibitishwa Jumanne na mkuu wa timu yake ya kisiasa, kwa mujibu wa Shirika la Habari la Libya.

Wakili wake alieleza mauaji hayo yalitekelezwa na kikosi cha watu wanne waliovamia nyumba yake katika mji wa Zintan, ingawa haijafahamika ni nani aliyekuwa nyuma ya shambulio hilo.

Katika taarifa nyingine linalokinzana, dada yake ameliambia televisheni ya Libya kuwa Saif al-Islam alifariki karibu na mpaka wa Libya na Algeria.

Saif al-Islam Gaddafi kwa muda mrefu alionekana kuwa mtu mwenye ushawishi mkubwa na wa kuogopwa zaidi nchini Libya baada ya baba yake, aliyelitawala taifa hilo kuanzia mwaka 1969 hadi alipoondolewa madarakani na kuuawa wakati wa mapinduzi ya mwaka 2011.

Amezaliwa mwaka 1972, alicheza nafasi muhimu katika kuimarisha uhusiano wa Libya na mataifa ya Magharibi kuanzia mwaka 2000 hadi kuanguka kwa utawala wa Gaddafi.

Baada ya kuondolewa kwa baba yake, Saif al-Islam — aliyekuwa anatuhumiwa kuwa mhusika mkuu katika ukandamizaji wa kikatili dhidi ya waandamanaji wa serikali — alifungwa jela kwa karibu miaka sita na kundi pinzani la wanamgambo katika mji wa Zintan.

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) ilikuwa ikitaka kumfikisha mahakamani kwa tuhuma za uhalifu dhidi ya binadamu, zikihusiana na madai ya kuhusika kwake katika kukandamiza maandamano ya upinzani mwaka 2011.

Mwaka 2015, alihukumiwa kunyongwa akiwa hayupo mahakamani kwa nafasi yake katika operesheni za ukandamizaji, na mahakama ya Tripoli, magharibi mwa nchi ambako kuna serikali inayotambuliwa na Umoja wa Mataifa.

Hata hivyo, aliachiliwa huru miaka miwili baadaye na wanamgambo wa Tobruk mashariki mwa Libya, kufuatia sheria ya msamaha.

Tangu kuangushwa kwa Gaddafi, Libya imegawanyika katika maeneo yanayodhibitiwa na makundi mbalimbali ya wanamgambo, na kwa sasa ina tawala mbili zinazopingana.

1770184254086.png

==========

Saif al-Islam Gaddafi, son of Libya's former leader Col Muammar Gaddafi, has reportedly been shot dead.
The death of the 53-year-old, who was once widely seen as his father's heir apparent, was confirmed by the head of his political team on Tuesday, according to the Libyan News Agency.

His lawyer told the AFP news agency a "four-man commando" unit carried out an assassination at his home in the city of Zintan, though it was not clear who may have been behind the attack.
In a competing version of events, his sister told Libyan TV that he had died near the country's border with Algeria.

Saif al-Islam Gaddafi was long seen as the most influential and feared figure in the country after his father, who ruled Libya from 1969 until being ousted and killed during an uprising in 2011.
Born in 1972, he played a key role in Libya's rapprochement with the West from 2000 until the collapse of the Gaddafi regime.

After his father's removal, Saif al-Islam Gaddafi - who was accused of playing a key role in the brutal repression of anti-government protests - was jailed by a rival militia in the city of Zintan for almost six years.
The International Criminal Court wanted to put him on trial for crimes against humanity for his alleged role in the suppression of opposition protests in 2011.

In 2015, he was given a death sentence in absentia for his role in the crackdown by a court in Tripoli, in the west of the country, where control is in the hands of the UN-backed government.
But he was released by militia in Tobruk, in the east, under an amnesty law two years later.
Since the overthrow of Gaddafi, Libya has been split into areas controlled by various militias and is currently divided between two rival governments.

During his father's time as leader, he shaped policy and led high-profile negotiations despite having no official role in government, including those which led his father to abandon his nuclear weapons programme.
Such agreements saw international sanctions on the north African country lifted, and some considered Gaddafi a reformist and acceptable face of a changing Libya.
Gaddafi had always denied that he wanted to inherit power from his father, saying the reins of power were "not a farm to inherit".

However, in 2021 he announced he would run for the presidency in elections which were then postponed indefinitely.

​

 
Saif al-Islam Gaddafi, the son of Libya’s former leader Muammar Gaddafi, has been killed, a source close to the Gaddafi family told Al Arabiya on Tuesday.

The source said four assailants shot Saif al-Islam in his garden and then fled the scene.

The source added that it was not immediately clear who was responsible for the killing.

Libyan state news agency LANA also reported his death, citing his advisor, Abdallah Othman.

Saif al-Islam had long been seen as his father’s successor. In 2021, he announced he would run for president, but those elections were indefinitely postponed.
Mamlaka husika ya nchi ndio imemuua.
Kama jamaa alitangaza kuwania urais lazima wangemuogopa tu ndio maana wamemuua.
 
Huyu ndo yule alikatwa vidole?

Alitakiwa atulie, aachane na siasa.. Sasa yeye alijifanya mwamba kuutaka urais na kuunda vikundi vya kigaidi.

Hawezi vumiliwa
Usiongee usichojua. Akiyeunda vikundi vya uhasama alikua HALIFA HAFTAR ambaye naye alikua anataka madaraka kivyake hapo Libya. Pesa alikua akipewa na Qatar. Huyu mtoto wa Gaddafi hakuwahi jihusisha na makundi ya washika silaha.
 
Back
Top Bottom