secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Tuko kwenye juhudi ya kulirudisha hilo jina zuri Ili mchezo huu uwavutie wengi zaidi.unajua punyeto asili yake nini?
wabongo tulikosa neno zuri tukalitohoa kutoka kwa kireno "punheito"
Upuuzi wa baba yake, ambao na yeye alikuwa akiushadadia.Kwanini wamefanya hivyo Sababu hasa ni ipi
After the death of his father huyu alishika madaraka? Au pipo zimeamua ku pruni masalai ya gadafUpuuzi wa baba yake, ambao na yeye alikuwa akiushadadia.
Usipate shida kuhusu hz lughaTuko kwenye juhudi ya kulirudisha hilo jina zuri Ili mchezo huu uwavutie wengi zaidi.
'Punheito'
Na kikuryaUsipate shida kuhusu hz lugha
Kiingreza
Kireno
Kifaransa
Khispania
Hizi lugha unazijua mkuu? (Unaongea?)Usipate shida kuhusu hz lugha
Kiingreza
Kireno
Kifaransa
Khispania
Kabisa mkuuHizi lugha unazijua mkuu? (Unaongea?)
Tata mura (kwa kikurya).Kabisa mkuu
Sema nimesahau na kikurya hapo
Sana ana angalia maslahi yake tuuMmarekani kwenye maslahi yake, yuko radhi apaze kelele, mbwa amuite paka.. na kwa kuwa anajua sauti yake ni sauti kuu, atakuita paka na dunia nzima itakubali we ni paka, watakaobisha ni wachache tena vifuani mwao, hawana jeuri ya kukohoa kusema hapana, huyu ni mbwa sio paka
100% involvement na si direct involvement ,Marekani hausiki
Usimuamshe aliyelalaKabla ya kuanguka Utawala wa Ghadhafi huyu mtoto wa Ghadhafi alikuwa kama Rais wa pili, leo ameliwa kichwa na Walibya.
Samia mkanye mwanao au soma historia.
Kisasi, kina Abdul na Ridhiwan wajiandae, mauaji ya October 29 kamwe hayataondoka kwenye vichwa vya Watanganyika kizazi hadi kizazi lazima kisasi kilipwe.Kwanini wamefanya hivyo Sababu hasa ni ipi