malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Ni kwasababu ya baridi angalia unapo ishi sio bondeni au swamp jotahidi kulala na nguo nzito isio pitisha baridi mpaka shingoni.......nimonia pia inasumbua watoto wadogo siku hizi.Habar wakuu msaada wenu bint yangu wa mwaka mmoja anakohoa sana usiku tumejaribu kumpa dawa na kwenda hospital dawa hazijasaidia kitu...anakohoa Hadi inaogopesha ,,na mchana mara Chache hukohoa
Hajapungua uzito,anacheza sana tu na anakula vizuramepungua uzito?
hachezi sana na wenzie kabla hajaanza kukohoa sana
hapendi kula
kama yote anayo hapo juu,mtoto anaweza kua na maambukizi ya kifua kikuuu.
Kinachekiwa vipKuna kitu kinaitwa "kimeo" kama sikosei, jaribu kucheki hicho
Hatuishi mabondeni na hakuna baridNi kwasababu ya baridi angalia unapo ishi sio bondeni au swamp jotahidi kulala na nguo nzito isio pitisha baridi mpaka shingoni.......nimonia pia inasumbua watoto wadogo siku hizi.
Unaishi mkoa gani kama ni dar sehemu ipi ya dar.Hatuishi mabondeni na hakuna barid
Habar wakuu msaada wenu bint yangu wa mwaka mmoja anakohoa sana usiku tumejaribu kumpa dawa na kwenda hospital dawa hazijasaidia kitu...anakohoa Hadi inaogopesha ,,na mchana mara Chache hukohoa
Mkoa wa tabora ndo naishiUnaishi mkoa gani kama ni dar sehemu ipi ya dar.
OK sijui hali ya majiraMkoa wa tabora ndo naishi
Habar wakuu msaada wenu bint yangu wa mwaka mmoja anakohoa sana usiku tumejaribu kumpa dawa na kwenda hospital dawa hazijasaidia kitu...anakohoa Hadi inaogopesha ,,na mchana mara Chache hukohoa
Habar wakuu msaada wenu bint yangu wa mwaka mmoja anakohoa sana usiku tumejaribu kumpa dawa na kwenda hospital dawa hazijasaidia kitu...anakohoa Hadi inaogopesha ,,na mchana mara Chache hukohoa
Hapana sijampaDawa ya minyoo umempa?
Mpatie dawa ya minyoo afu unipe feedbackHapana sijampa
Duuh kirahisi rahisi tu ushahitimisha hivyo, mtakuja kuua watu Kwa presha nyie ma bush Dr .amepungua uzito?
hachezi sana na wenzie kabla hajaanza kukohoa sana
hapendi kula
kama yote anayo hapo juu,mtoto anaweza kua na maambukizi ya kifua kikuuu.
Mleta uzi fuata huu ushauri hao wengine watakuingiza chaka uishie kumuumiza tu huyo mtoto .Habari,
Vikohozi vinavyokazana/zidi usiku na kupungua mchana, vikiwa haviambatani na homa vinahusishwa zaidi na allergy/mzio.
1: Hatua ya kwanza ni kujua mfumo wa maisha wa wazazi.
Je wazazi kuna mwenye historia ya mzio, mfano: vumbi nk.
Hii husaidia ufatiliaji kwa mtoto pia.
2: Maisha ya mtoto binafsi.
Matumizi ya:
1: Vitu vinavyoambatana na hali husika ni kama: matumizi ya karanga/unga wa karanga, unga wa mbegu za maboga, blue band na maziwa yatokanayo na wanyama.
Ni vyema kuangalia kitu kipya kilichoanzishawa kwenye mlo wake kipindi anaanza kukohoa.
2: Wazazi kutumia manukato au mtoto kutumia mafuta au sabuni zenye manukato.
3: Matumizi ya feni au AC.
4: Kuishi eneo ambalo lina maua au mahindi au mimea ambayo inatoa mbelewele/pollen grain. Usiku ni muda ambao mazao husika huachia pollen grain kwenye hewa hasa kwa maua.
Haya yote hutoa uchaguzi wa aina ya dawa anayotakiwa kupewa mtoto.
NB: Haya ni maelezo ya jumla, ni vyema kumfikisha mtoto kwa daktari mwenye ujuzi hasa daktari bingwa wa watoto ili kufanya tathmini kwa mhusika zaidi kwa kuzingatia erefu wa muda, kiasi cha kikohozi na yanayoambatana pia ukaguzi wa mtoto.
1. Epuka neno kilimi...usije kujaribu kumkata.Habar wakuu msaada wenu bint yangu wa mwaka mmoja anakohoa sana usiku tumejaribu kumpa dawa na kwenda hospital dawa hazijasaidia kitu...anakohoa Hadi inaogopesha ,,na mchana mara Chache hukohoa
Usifanye uzembe utapoteza mtoto huyo hamia hospitali kubwa zaidi umuone pediatricianHabar wakuu msaada wenu bint yangu wa mwaka mmoja anakohoa sana usiku tumejaribu kumpa dawa na kwenda hospital dawa hazijasaidia kitu...anakohoa Hadi inaogopesha ,,na mchana mara Chache hukohoa